Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani. Ni muhimu sana kama taifa kukumbushana baadhi ya vitu tunapoelekea katika uchaguzi huu maana mchakato upo mwanzoni lakini tunashuhudia vitendo vinaratibiwa vya uvunjifu wa amani na baadhi ya viongozi tukinukuu maneno ya Tundu Lisu akiongea nyakati tofauti wakati anazunguka kutafuta wadhamini kuwa hatakubari kushindwa, hapa tunapata tafsiri ya kuwa amejianda katika kuleta vurugu maana tunavyojua siasa ni ushindani wa hoja na si kushindana kwa kupigana.

lakini hatuwezi kumshanga Tundu Lisu kwa sababu kubwa moja uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi sababu katika kipindi cha miaka mitano wameweza kutekeleza Ilani yao kwa asilimia 100 chini ya uongozi hodari na thabiti wa Mh. Rais John Pombe Magufuli kwa kuweza kusimamia kwa vitendo utekelezaji wake wa Ilani hiyo.

Nakuonya Tundu Lissu usije ukajaribu wala kurogwa kuliingiza taifa hili katika machafuko kwa malengo yako binafsi na watu wanaokutuma yaani Mabeberu ndio maana nimeamua kukuonya kwanza ili watanzania watakapo kuja kukuonya katika sanduku la kura usije ukaona umeonewa na ukaanzisha vurugu na vikundi vyako vilivyopo ndani ya chadema.

Nakuonya Tundu Lissu uchaguzi wa mwaka huu nikuhakikishie Ajenda ya Watanzania wanachagua maendeleo na si kelele unazopiga katika majukwaa ni bora ushauri wapi kunatakiwa kuboreshwa na si kujenga hoja za kuligawa taifa letu.

Nakuonya Tundu Lissu nibora ujiengue katika hiki kinyanganyiro maana unakwenda kupata aibu na kukifanya CHADEMA kuwa chama cha tatu au cha nne katika upinzani hivyo basi ni bora ukae pembeni au uungane na jeshi la Magufuli katika kufanya siasa za maendeleo anazozifanya MAGUFULI

Nakuonya Tundu Lissu kuwa muangalifu na chukua tahadhali kubwa katika kipindi hiki kama mgombea wa CHADEMA maana utapokea maelekezo mbali mbali kutoka kwa viongozi wenzio ndani ya CHADEMA kwa mazumuni ya kuleta vurugu katika nchi usije ukakubali kuwa katika mpango mkakati huo.

Mwisho nakuonya Tundu Lissu tumia muda huu kupumzika maana naamini kinga za mwili wako bado hazipo sawa kufanya wewe uwezi kufanya kampeni tena za kuzunguka nchi nzima hivyo jali kwanza afya yako maana afya ni bora kuliko hiko unachokipigania
 
CCM wanalalamikia chadema kufanya vurugu, wapinzani wanalalamika kufanyiwa vurugu tumuelewe na tumsikilize Nani.

hakuna serikali au polisi wawakamate hao wafanya vurugu. Au serikali nayo inalalamika kufanyiwa vurugu

Kama vipi tuungane kuiondoa hii serikali dhalimu ambayo haijui majukumu yake.

*Haki uinua Taifa*
 
Yaani CCM imeishiwa wajenga hoja mpaka inashangaza.
Vulungu ndo kitu gani mkuu?
Wamiliki wa kitengo cha utetezi wa CCM mitandaoni ni Le mutuz kubwa jinga na cyprian Musiba, wana gheto wamewajaza vijana wavuta Bangi huko huwakaririsha ujinga wao mwingi kisha kuwatuma kuja kusumbua watu mitandaoni.
 
Wapinzani ndio wameishiwa wajenga hoja na ndio mnafikia wakati mnacho angalia kwenye thread nzito nzito huwa mnachambua makosa ya kiuwandishi na sio kuchambua hoja.
Hoja ipi huko CCM? CCM mna hoja? Tokea lini wanaccm wawe na hoja? ebu lete hoja kwa mfano, kama CCM mngekuwa na hoja mngehangaika kuwabambikia kesi kuwapiga risasi Chadema?
 
Ukweli wa mambo tuache kudanganywa Lissu hafai, endelea
 

Attachments

  • IMG_2587.MP4
    19.7 MB
Watetezi wa CCM mitandaoni wamejitoa fahamu zote wameamua kuleta mada ndefu zisizo na tija wakidhani watanzania ni wajinga kama wao

Kwahiyo 'Umeshahalalisha' kabisa Mkuu kuwa Wana CCM wote tu ( GENTAMYCINE ) nikiwemo ni Mangumbaru / Wajinga? Tuombe Radhi Wengine.
 
Tuliza WENGE wewe MATAGA......Mwaka wenu wa mwisho huu kuendelea kuinyonya tanzania...TZ inaenda kupata uhuru chini ya Mwamba TAL Ni yeye.
Hivi kweli kabisa waTz na akili zao timamu wakampigie kura TUNDU LISU na ule uchizi uliomja kichwani???
Hilo Jambo halitoweza kutokea milele daima
 
Back
Top Bottom