Nakuomba Professor Lipumba ukafanye Ukarabati Kijijini kwenu

Nmecheka sana hii thread,ila kweli sio mbaya kukumbashana mambo yafaayo katika jamii
 
na yeye wakapiga chini, kitendo hicho kilimkera sana, nilifika kaliua nov mwaka jana, jamaa tembea yake ni jioni na usiku kwani anaona aibu alivyopigwa chini na bint sakaya
jama alituzingua sana aiseee ngoja nayeye akae pembeni kwanzaa japo yapo ya kukumbukwa kutoka kwake.
 
Mbona Povu nyingi! Sijamlaumu Nyerere kwa kutojenga Butiama nimeeleza hiyo fact ieleweke!

Umetoa mfano wa Nyerere kumtetea Prof na mm nimekupa mfano ya aliyoyafanya Nyerere ikiwepo viwanda vya Sukari ambavyo hatujaweza kuongeza hata kimoja .Swali je Prof kafanya nn kwa nchi zaidi
 
Umetoa mfano wa Nyerere kumtetea Prof na mm nimekupa mfano ya aliyoyafanya Nyerere ikiwepo viwanda vya Sukari ambavyo hatujaweza kuongeza hata kimoja .Swali je Prof kafanya nn kwa nchi zaidi

Kulinganisha Aliyofanya Nyerere kwa hadhi yake ya Urais aliekuwa na Mamalaka hayo Kikatiba na kiuwezo kutokana na kukusanya Kodi ukataka kulinganisha Lipumba asiewahi kuwa na Mamlaka yoyote ya cheo cha Kiutendaji kwa Nchi ni uwehu wa kiwango cha juu kabisa.
Prof Lipumba ukitaka kumlinganisha Mchango wake kwa Nchi mlinganishe na Ma Prof na Wana Taaluma Wenzake au wachumi Wenzake au Wanasiasa wa hadhi yake!

Nyerere mlinganishe na Ma Rais wenzie!

Wewe ukitoa Mfano wa Kiwanda cha Sukari Mwingine atatoa Hoja tutajie wakat wa Ukoloni wapi watu walikimbizana kupata kununua bidhaa muhimu?
 
Back
Top Bottom