Nakuomba Professor Lipumba ukafanye Ukarabati Kijijini kwenu

Ni aibu kwa mwanasiasa huyu umri wake uko jioni sana kiza kimeanza kuingia cha ajabu hakuna hata sehemu ya kuweka Jeneza lake yeye mwenyewe kwa sasa umeshatumia Robo tatu ya maisha yako ni aibu sana naombeni na vijana wa UKAWA hasa BAVICHA msimtetee huyu.

Huu ni Ushauri ambao Mimi nakuasa ukajenge kibanda kule Ilolanguru ili kije kikusitiri nitakuona wa ajabu kama utazikwa Makaburi ya Kinondoni kama Kanumba na Thomas Mashali Tafadhari rudi ukarabati kibanda.
Prof Haruna Lipumba mtoto ya ISEVYA.
 
Bwana yule naskia amesoma mpaka akasahau kama kuna haja ya kuwa na familia.

Acha ajibanze hapo ofisini maisha yaendelee.
Mkuu Amoxlin utanivunja mbavu,kwamba amesoma mpaka akasahau kama kuna haja ya kuwa na familia hatareee kubwa.
 
Nyerere hakufanya kazi UN alipambana kuijenga nchi mfano viwanda eg General tire, Mwatex,Kiltex,Sungura tex,Urafiki,Kilimanjaro blanket,Blankets keko,Ubungo garment,Air Tanzania Na mengine mengi.Je hivyo vyote angevijenga Butiama leo hii pangekuwa kama Calfonia

Mbona Povu nyingi! Sijamlaumu Nyerere kwa kutojenga Butiama nimeeleza hiyo fact ieleweke!
 
Yani kuna watu wa ajabu kweli yani baba zima umri ule kweli kabisa huna mke, huna mtoto akat wenzake wa rika lake wanao mpaka wajukuu,,, au kunao kitu kimejificha? Sababu mwanaume kamili sidhani kama anaweza kukaa maisha yake yote bila mke na kiukwel tu it's a shame.
labda shokapu imekwisha kazi
 
Ni aibu kwa mwanasiasa huyu umri wake uko jioni sana kiza kimeanza kuingia cha ajabu hakuna hata sehemu ya kuweka Jeneza lake yeye mwenyewe kwa sasa umeshatumia Robo tatu ya maisha yako ni aibu sana naombeni na vijana wa UKAWA hasa BAVICHA msimtetee huyu.

Huu ni Ushauri ambao Mimi nakuasa ukajenge kibanda kule Ilolanguru ili kije kikusitiri nitakuona wa ajabu kama utazikwa Makaburi ya Kinondoni kama Kanumba na Thomas Mashali Tafadhari rudi ukarabati kibanda.
wewe kwenu wapi na umefanya nini huko kwenu
 
Yani kuna watu wa ajabu kweli yani baba zima umri ule kweli kabisa huna mke, huna mtoto akat wenzake wa rika lake wanao mpaka wajukuu,,, au kunao kitu kimejificha? Sababu mwanaume kamili sidhani kama anaweza kukaa maisha yake yote bila mke na kiukwel tu it's a shame.
Umenichekesha sana
 
Sasa sijui atajibu nini kwa siku saba alopewa na mahakama au nafsi imemsuta au atatengua uamuzi wake
 
Back
Top Bottom