Nakuomba Professor Lipumba ukafanye Ukarabati Kijijini kwenu

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Ni aibu kwa mwanasiasa huyu umri wake uko jioni sana kiza kimeanza kuingia cha ajabu hakuna hata sehemu ya kuweka Jeneza lake yeye mwenyewe kwa sasa umeshatumia Robo tatu ya maisha yako ni aibu sana naombeni na vijana wa UKAWA hasa BAVICHA msimtetee huyu.

Huu ni Ushauri ambao Mimi nakuasa ukajenge kibanda kule Ilolanguru ili kije kikusitiri nitakuona wa ajabu kama utazikwa Makaburi ya Kinondoni kama Kanumba na Thomas Mashali Tafadhari rudi ukarabati kibanda.
 
Ni aibu kwa mwanasiasa huyu umri wake uko jioni sana kiza kimeanza kuingia cha ajabu hakuna hata sehemu ya kuweka Jeneza lake yeye mwenyewe.

Huu ni Ushauri ambao Mimi nakuasa ukajenge kibanda kule Sikonge ili kije kikusitiri nitakuona wa ajabu kama utazikwa Makaburi ya Kinondoni kama Kanumba na Thomas Mashali Tafadhari rudi ukarabati kibanda.
anang'ang'ania buguruni kumbe ana ata kibanda
 
Ni aibu kwa mwanasiasa huyu umri wake uko jioni sana kiza kimeanza kuingia cha ajabu hakuna hata sehemu ya kuweka Jeneza lake yeye mwenyewe.

Huu ni Ushauri ambao Mimi nakuasa ukajenge kibanda kule Ilolanguru ili kije kikusitiri nitakuona wa ajabu kama utazikwa Makaburi ya Kinondoni kama Kanumba na Thomas Mashali Tafadhari rudi ukarabati kibanda.
Umewaza weeeee,ukaona uje na hii kitu!asante magufuli kwa kuwa switch bavicha kwenda ku discuss personalities za watu
 
Back
Top Bottom