Nakuomba eeemungu wa rehema, umsamehe yule KIBAKA aliyeniibia Blackberry! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakuomba eeemungu wa rehema, umsamehe yule KIBAKA aliyeniibia Blackberry!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 3, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  Hakika kila tukio ktk maisha ya binadamu lina sababu zake, zaweza kuwa njema au mbaya lakini mbele za mungu yote ni mema kabisa!
  Mungu amenisaidia nimerudi tena hewa kwa daraja la juu zaidi! Yani kibaka kaiba curve mimi nimemrukia hatua ndefu zaidi.

  Nakuomba eemungu wa rehema umsamehe huyo kibaka kwani naamini kabisa tatizo ni umasikini uliosababishwa na serikali ya ccm chini ya Vasco da gama aka Sharobaro!!
   
 2. k

  kipakaMwitu Senior Member

  #2
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahaah, umepata aina gani hyo? Una masiala kama wahaya!
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,206
  Likes Received: 3,771
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Ahaaaa haaa ni pm mkuu!
   
Loading...