Nakumbuka Nyerere Aliyakosoa sana mambo haya

lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
16,452
21,894
Katika serikali za awamu ya pili na tatu alikosoa mambo kama:
1. Serikali ya awamu ya pili kushindwa kukusanya kodi
2. Serikali ya awamu ya pili kushindwa kupambana na wala rushwa
3. Ubinafsishaji holela uliofanywa na awamu ya tatu
4. Uvunjaji wa katiba ya nchi uliofanywa na serikali ya awamu ya pili

JE WEWE UNAKUMBUKA JAMBO GANI NYERERE ALILIKEMEA ALIPOKUWA HAI? TUPIA HAPA
 
kuna awamu ilitaka kutokea kutafuta kura kwa udini. watu wakaanza kutumiana waraka n.k

Ubarikiwe ndugu kwa kuleta hii video. Inawafaa sana wanasiasa na wanaotaka uongozi wa uma. Nitaifuatilia niweke kwenye library yangu
 
Back
Top Bottom