spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 5,986
- 15,467
Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu.
Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu alimchukua mpendwa babangu na kuniacha nisijue thamani ya maisha kwa muda ule baada ya kukubali na kuona sababu ya kuendelea kuishi.
Nashukuru Mungu sasa nipo imara na nsharud katika hali yangu ya kawaida.
Inna lillah wainna illahi rajiuun.