Nakumbuka mwezi July nilimpoteza baba yangu

spidernyoka

JF-Expert Member
Jan 2, 2020
5,933
15,316
Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu.

Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu alimchukua mpendwa babangu na kuniacha nisijue thamani ya maisha kwa muda ule baada ya kukubali na kuona sababu ya kuendelea kuishi.

Nashukuru Mungu sasa nipo imara na nsharud katika hali yangu ya kawaida.

Inna lillah wainna illahi rajiuun.
 
Mwshoni mwa mwez wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu.
Ilkua ni kumpoteza mtu ambaye nlkua na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu alimchukua mpendwa babangu

Pole sana spidernyoka
Kuna muda unafikwa na jambo hadi unajiona huna sababu ya kuamka kesho

Lakini Mungu ni mwema....ameweka tumaini jipya moyoni mwetu ambalo linatusaidia kuvuka maumivu tunayoyapitia

Apumzike kwa amani baba yetu mpendwa
 
Mwishoni mwa mwezi wa July nilifikwa na jambo kubwa katika maisha yangu.

Ilikua ni kumpoteza mtu ambaye nilikuwa na kila sababu ya kuamka na kupambana ili aone matunda yangu siku moja. Mungu alimchukua mpendwa babangu na kuniacha nisijue thamani ya maisha kwa muda ule baada ya kukubali na kuona sababu ya kuendelea kuishi.

Nashukuru Mungu sasa nipo imara na nsharud katika hali yangu ya kawaida.

Inna lillah wainna illahi rajiuun.
Pole sana,.Mungu akutie nguvu
 
Pole mkuu
Msiba wa baba unauma
Mimi kila siku nalia,leo tu alfajiri nikawa naota matukio ya msibani yalivyokuwa..nimelia usingizi,nimekuja kuamshwa nikalianzisha tena live.
 
.......................Mungu awarehemu wazee wetu na wote aliowaita kwake pia awalinde wale aliowabakiza kutuongoza.

Mzee wangu ana 34+ kwenye udongo nimemuona kwenye picha tu,sichoki kumuombea imani yangu huko aliko yupo sehemu salama.

Pole sana mkuu!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom