Nakumatt set to take over Shoprite stores in Tanzania

Mpendwa1

JF-Expert Member
Dec 6, 2013
568
387
Serikali ya TZ ilisimama vizuri kutetea kampuni zao na naunga serikali ya TZ mkono hapa, hiyo inafaa iwe sheria kila pahali; maduka ya retail yakifunguliwa yanafaa yauze vitu vya local sio kuleta bidhaa nyingi kutoka nchi zingine....haya taarifa ndio hii, sikutaka kubandika maandishi yote ....article is too long:

Kenya's largest retail chain Nakumatt is set to acquire three stores belonging to South Africa's Shoprite in Tanzania in a multi-billion-shilling deal that is expected to be completed by March next year.

The acquisition gives Nakumatt a bigger presence in Tanzania where it debuted in December 2011 with the 34,000-square feet Nakumatt Moshi outlet.

The deal involves the takeover of three Shoprite outlets - one in Arusha and two in Dar es Salam - and is valued at Sh4 billion.

"We have been informed of the said takeover by Nakumatt and the whole deal is set to be concluded March next year," a senior Shoprite manager in Arusha told the Business Daily on the phone.............

Shoprite opened its first shop in Tanzania in 2001 and its exit comes a few months after the Tanzanian government warned it against rampant importation of products from South Africa.

"Shoprite was importing up to 80 per cent of its products from South Africa – a move that was clearly aimed at promoting manufacturers back home and it seems the Tanzanian government warning did not go well with them causing the exit," said another source familiar with Shoprite's operations.

Nakumatt set to take over Shoprite stores in Tanzania - Corporate News - businessdailyafrica.com

kama shoprite walikuwa wana import 80% goods from s.a,quest to ask vilivyokuwa vinaingizwa tz vilikuwa vikipatikana tz kwa ubora wa kimataifa?unaokidhi viwango?kenyan are trickly let expect 100% of goods frm kenya now || ooh sleeping giant!
 
Hahaha!! mbona bongo huwa munatushuku kwa kila jambo, jameni huu ni ushindani wa biashara na kawaida business tricks huwa jambo la kawaida.
 
Safi sana hawa wako serious kuwajali wateja na hufungua 24 hrs wataleta mabadiliko ya ukweli na ushindani. Karibuni.
 
Sababu za shoprite za kijinga,mbona TSN wanauza bidhaa zote?kukwepa kodi tuu huko mwekezaji mpya
 
I also smell fish on this. Sio yale yale ya Sheraton, Movenpick Royal Palm Hotel, Dar Es Salaam Serena Hotel, and >>>>>>>>>???

....Also Samax, Mirelani, Mirerani, AFGEM and TANZANITEONE are all the same company.
 
kama shoprite walikuwa wana import 80% goods from s.a,quest to ask vilivyokuwa vinaingizwa tz vilikuwa vikipatikana tz kwa ubora wa kimataifa?unaokidhi viwango?kenyan are trickly let expect 100% of goods frm kenya now || ooh sleeping giant!

Oh please...don't be pessimistic! Nakumatt will sell Tz products like Bidco (made in Nrb, labelled in Mikocheni) and of course Brookside milk from Ruiru, sorry.. Brookside dairies Arusha...I swear the packet says Arusha!:sleepy:
 
kama shoprite walikuwa wana import 80% goods from s.a,quest to ask vilivyokuwa vinaingizwa tz vilikuwa vikipatikana tz kwa ubora wa kimataifa?unaokidhi viwango?kenyan are trickly let expect 100% of goods frm kenya now || ooh sleeping giant!
Bora hiyo 80% ya SA, kutoka kenya tutauziwa hadi mchicha na mnafu. Tatizo viongozi wetu hawana vision kazi yao kubwa kula rushwa.
 
Bora hiyo 80% ya SA, kutoka kenya tutauziwa hadi mchicha na mnafu. Tatizo viongozi wetu hawana vision kazi yao kubwa kula rushwa.

Hamna bora, chenga tu hapa. Ila hata hivyo poa tu, sisi wenyewe si tunaona ujiko kwenda super market wakati bidhaa za ukweli fresh from shamba ziko pale kariakoo hadi zinamwagika!
 
KARIBUNI KENYANSSSS!! :israel: :israel: SISI NGOJA TUENDELEE KUSHANGAA MISUKULE YA LAMADI, NA KUUA TEMBO, NA UJINGA MWINGINE MWINGIIIIIIIIII!
 
Habri za uhakika nilizozipata na kuzifanyia uchunguzi wa kina ni Kwamba Super market (SHOPRITE) imeuzwa yaani maduka yake yote Tanzania na kununuliwa na UCHUMI Super market ya Kenya. Kutokana na taarifa mbali mbali tulizozipata ni kwamba hadi wafanyakazi wote wame nunuliwa hivyo mikataba yao haitasitishwa na management mpya ya Uchumi. Hata hivyo kuna madai mengi na stahiki za wafanyakazi hayajawekwa wazi kwenye ununuzi huo hivyo wafanyakazi wa SHOprite wanaweza kupoteza haki hizo kama serikali haitafuatilia kuanzia sasa kabla haijakabidhiwa kwa UCHUMI. Pamoja na suala la wafanyakazi, JE SERIKALI INAFAHAMU DEAL HILO? JE SERIKALI IMEPATA STAHIKI YAKE KUTOKANA NA MAUZO YA KAMPUNI HIYO? JE TARATIBU ZOTE ZA KISHERIA ZIMEFUATWA?
 
Sheria ya kazi Tanzania ni ya hovyo. Mwajiri akikuuza au akikuonyesha pa kwenda na mshahara wako ukaendelea vilevile, anaruhusiwa kutokukulipa chochote.
 
kama shoprite walikuwa wana import 80% goods from s.a,quest to ask vilivyokuwa vinaingizwa tz vilikuwa vikipatikana tz kwa ubora wa kimataifa?unaokidhi viwango?kenyan are trickly let expect 100% of goods frm kenya now || ooh sleeping giant!

sasa sisi watz tunaweza kuproduce vitu standard! ma apple toka handeni yamesinyaa na magumu kama kokoto nani atanunua?
 
....Also Samax, Mirelani, Mirerani, AFGEM and TANZANITEONE are all the same company.

Mirerani ni jina la eneo, samaksi ni jina lililoluwepo wakati company inaanza,ikawa afgem baada ya mwekezaji mwingine kuichukua na sasa ndiyo inaitwa TANZANITEONe na hii pia mwekezaji ni mwingine, na ni heri wao hata wanaboresha barabara kwa changarawe kuliko wazawa wanavyotumia pesa kwa ufuska.
 
Back
Top Bottom