"Nakula ujana" wanawake stukeni, sisi wanaume huwa tunawang'ong'a mkitumia msemo huu

Doswe Dossena

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
314
552
Habari?

Bila shaka weekend imeenda vyema.

Baadhi ya wadada wa mjini wasioolewa na wanaopenda kuruka na kujivinjari viwanja mbali mbali vya starehe na mabuzi yao/sponsor huku wakitumia msemo wa 'tunakula ujana'.

Sisi wanaume huwa tunawaangalia wa jicho la huruma na kuwashangaa, mana msichana huyo anatoa kauli hyo akiwa na 20-30 yrs huku akijisahau kama umri unaenda nayeye anazidi kuchakaa kwa matumizi ya majanadume.

Baada ya kugota 31 yrs(jua la jioni) ndio anakuja kustuka kama ujana ulimla yeye badala ya yeye kuula ujana kama wasemavyo na anakuwa kashashuka bei hana soko tena kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

"Tunakula ujana" msemo huu ni wa kwetu sisi wanaume. Mana tunaweza fanya fujo zote ujanani lakini ukijisikia kutulia bado tunakuwa wapya kama tumetoka dukani mda huo huo na mvuto kwa wadada unakuwa upo pale pale(labda uchakae kwa shida tu:D) na hata ukitaka kuoa muda wowote unaweza fanya hivyo tofauti na nyinyi(wanawake) huwa mnashuka thamani.


[HASHTAG]#DOSWE[/HASHTAG]
 
Sisi wanaume huwa tunawaangalia wa jicho la huruma na kuwashangaa, mana msichana huyo anatoa kauli hyo akiwa na 20-30 yrs huku akijisahau kama umri unaenda nayeye anazid kuchakaa kwa matumiz ya majanadume. baada ya kugota 31 yrs(jua la jion) ndio anakuja kustuka kama UJANA ULIMLA yeye badala ya yeye kuula ujana kama wasemavyo, na anakuwa kashashuka bei hana soko tena kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Nah bro, speak for yourself. Myself, I believe in living and let live, I know a handful too who are about none but theirs.
 
Naunga mkono hoja, mwanamke umri wake wa kulinga ni mfupi sana ukilinganisha na sisi, mwanamke akifikisha 28 jua la utosini, 30 jua la jioni. Ila mwaname hata ukiwa na 50yrs unaweza chukua totoz ya 20yrs kikubwa uwe na salary
 

WEWE KAMA NI MSOMI UNAYESTAHILI KUTUNUKIWA Ph.D YA KUSOMA COMMENTS ZA WATU TU,
ILI UJUE PUMBA ZINAZO_TREND,
NA UONE POVU ZA WATU MBALIMBALI,

NA UNAAMINI SOMETIMES ZINAPUNGUZA STRESS ZA MAKALI YA MAISHA,

HALAFU, UNAFURAHISHWA SANA NA KOMENTI ZA KIINTELEKCHO ZA WATU WENYE IQ KUBWA NA INTELIJENSIA YA KIWANGO CHA FLYOVER KAMA MIMI,
BASI DUFUA "LIKE" ILI TWENDE PAMOJA HAPA!!!

 
Back
Top Bottom