Uchaguzi 2020 Nakukumbusha Kitila Mkumbo , kwamba 2015 CHADEMA ilimshinda Didas Masaburi wa CCM kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10

Kisingizio kuwa tume sio huru ni uongo tu. Maana tume inasimamia uchaguzi kwa mujibu wa sheria na kanuni. Na kila chama huwa na wakala wa kulinda kura.
Na hakuna mwananchi ambaye huwa anashikiwa bunduki ili achague kiongozi wa chama asichokitaka. Msisingizie vyombo vya dola kwa mambo ya uongo. Kama kushindwa mnashindwa sababu CCM inatekeleza ilani yake vizuri.
Mkuu hujui kitu kabisa mie eneo langu naloishi nmeshuhudia kabisa fomu za matokeo zikibadilishwa na zina sahihi tayari ilihali zinatofautiana na za mawakala. Ikatokea vurugu kubwa hadi madarasa ya shule ya msingi yakachomwa ikawa fujo sana hadi matokeo yakafutwa.

Siku 1 baadae wakabandika matokeo waliokuja nayo kwapani na akatangazwa CCM imeshinda hku amezingirwa na FFU wenye SMG kabisa!! So huwezi nifundisha CCM inaiba au lah wakati nlishuhudia kwa macho hiyo 2015.

Hii ilitokea kwa kafulila,wenje,Bungo,Naftali n.k ila of course mahakamani ni technicalities tu sio ushahidi ndio maana hakuna mtu alishinda kesi ya uchaguzi kwa pande zote mbili. Ila hizo za fomu kutofautiana zipo kweli na huna la kufanya.

Tume haijawahi kuwa huru otherwise CCM ingeshafutwa toka uchaguzi wa 2010 JK alipoambulia 48%!!
 
Kwa hiyo unasikiliza uongo wa kaka yako Zitto snr. Maana kama unashuhudia kwa macho fomu zinabadilishwa kwa nini msikatae na na ile kopi ya wakala wenu ikawa ushahidi mahakamani? Maana wakala lazima abaki na kopi kama ikibadilishwa iko tofauti na ya wakala si ndio ushahidi tosha? Matokeo yanatakiwa yabandikwe kituoni siku hiyo hiyo baada ya kuhesabu kura kwa nini yabandikwe siko moja baadae? Huu ni uongo mkubwa.
Tume ipo huru kabisa ila mmeshindwa uchaguzi mwaka huu sababu Ccm imetekeleza ilani yake vizuri.
 
Mwenzie Masaburi wakati anakwenda kugombea Ubungo alivyo jitosa nakushindwa na magonjwa yakaibuka hadi RIP Kitila mkumbo chadema unaijua au umeisahau?
 
Kwa hiyo unasikiliza uongo wa kaka yako Zitto snr. Maana kama unashuhudia kwa macho fomu zinabadilishwa kwa nini msikatae na na ile kopi ya wakala wenu ikawa ushahidi mahakamani? Maana wakala lazima abaki na kopi kama ikibadilishwa iko tofauti na ya wakala si ndio ushahidi tosha? Matokeo yanatakiwa yabandikwe kituoni siku hiyo hiyo baada ya kuhesabu kura kwa nini yabandikwe siko moja baadae? Huu ni uongo mkubwa.
Tume ipo huru kabisa ila mmeshindwa uchaguzi mwaka huu sababu Ccm imetekeleza ilani yake vizuri.
Kwani Wenje na kafulila si walikua na fomu zao?? Nini kilitokea mahakamani? Si hta zilikataa kupokelewa.

Mahakama unafahamu kabisa huwa technicalities tu sio ushahidi unaomaliza kesi. Mara hukula kiapo, mara hazikusajiliwa kma ushahidi, mara haziko verified n.k ila fomu wanazo kma maalim seif tu ila huna pa kudai haki zako.

Unajua upo CCM huelewi cku ukija upinzani ukaporwa ushindi ndio utaelewa tunachosema
 
Ahaaaa. Mimi nazungumzia uhalisia wa mambo. Habari za Ccm hazipo hapa. Mahakamani kama utapeleka documenta ambayo sio admissible lazima waikatae.
Ila kama mnaweka mawakala na hao mawakala wanatakiwa walinde kura kuanzia ngazi zote. Hii inadhihirisha uchaguzi huwa huru na haki.
 
Sawa mkuu subiri ukatwe huko CCM ndio utaelewa tunasema nni. Ukiona wazee wa CCM kma Mkapa anataka tume huru ujue wanaelewa uhuni unaoendelea.
 
Sema kwa siasa zilivofanywa kwenye awamu hii. Yaani ccm wapo kwenye kampen miaka mitano upinzani wamepigwa pini
 
Unajifanya CCM damu damu humu JamiiForums, umekaa kinafiki kinafiki kazi kupost na kucomment upuuzi na mapambio ya jiwe tu humu JF, kila uzi upo na hupitiwi kitu kama mke wa mjumbe, ila nina uhakika hata Didas haumjui. Mdudu wewe
Lina bore haswaaa! Hivi linapata wapi mda wa kuitumikia familia hasa mme wake. Mimi mke type hii (mwezi mchanga) hatudumu hata week moja.
 
Anapewa Sh 7,000/= kila week ya kujiunga MB, wana budget na ofisi maalum ya wazee wa mapambio pale makao makuu lumumba hao, na mwezi huu wanahamishiwa dodoma chamwino.
Lina bore haswaaa! Hivi linapata wapi mda wa kuitumikia familia hasa mme wake. Mimi mke type hii (mwezi mchanga) hatudumu hata week moja.
 
Sijaona chama kioga kama ccm, yaani pamoja na majeshi yote kuwalinda, rais, tume ya uchaguzi ni ya kwenu, n.k. lakini kiwango cha woga mnachoonesha tena dhidi ya mtu mmoja tu Tundu Antipas Lissu ni kikubwa mno.
Tundu Lisu is the big deal 2020 election
 
Wana Ubungo sio mazwazwa wanaoweza kuchagua hata Jiwe provided limesimamishwa ma Upinzani. CHADEMA wawe makini sana hapo Ubungo. Wasipumbazwe na historia ya 2010 au 2015
 
Katika jimbo gumu kutawalika na ambalo halina uchama ni Ubungo.Ni jimbo lenye watu wenye uelewa mkubwa na pia ni wafuatiliaji wazuri wa siasa na maendeleo kwa ujumla.
 
Uchaguzi 2015
1. CCM
2. CHADEMA, NCCR, CUF, NLD

Vyama vinne dhidi ya chama Kimoja

2020
CCM ambayo tunaambiwa ilipitwa kura 10,000 na vyama vinne mwaka 2015 je itakuwaje???
 
Kwa mambo waliyofanya Kubenea na wawakilishi wengine ndani ya jimbo la Ubungo sijui kama CDM watapata ushindi mkubwa kiasi hicho uchaguzi huu wa 2020.

Kubenea ameharibu sana wasifu wa CDM, yaani maeneo mengine hajawahi kuja kusikiliza kero wala kuyasemea huko bungeni toka 2015 hadi mwaka huu 2020. Hali kadharika Meya Boniface nae alikuwa kisiasa za kitaifa zaidi akasahau mambo ya katani kwake.

Sijui Kubenea alikuwa mamluki wa kuja kuivuruga CDM?!!!

Mwaka huu CCM wanaweza kuwasumbua sana upinzani jimbo la Ubungo, inategemeana na wao watampitisha nani kugombea kupitia chama chao.

Ningeshauri CDM waweke mtu anaye kubalika sana hapa Ubungo ili kujihakikishia ushindi.
Kubenea mamluki. Aliamua kujisalimisha baada ya Ile tindikali.
 
Back
Top Bottom