Nakujuza tu kama hujui hivi; Ukipoteza ufunguo wa nyumbani kwako hutakiwi kuvunja komeo/mlango wako bila Ripoti ya Polisi (Loss Report)

Umekurupuka. Mimi namaanisha eneo ni langu kisheria na nimepanda mti mwenyewe na kuutunza hadi ukakomaa. Nikitaka kuuvuna ni lazima nipate kibali cha maliasili!! Ukandamizaji huu.
Mtoto ni wako lakini kumbuka sheria hairuhusiwi kumpiga au kumuumiza na ukibainika unamshambulia mwanao wa kumzaa mwenyewe unafungwa jera!

Sheria inatambua miti yote inayopandwa iliyopo ni Mali ya asilia, huruhusiwi kukata wa kuchana mbao bila kibali!
Kwenye ardhi mmiliki mkuu ni serikali wewe ni mpangaji tu, ndiyo maana unatakiwa ulipie kodi ya ardhi/jengo
 
Back
Top Bottom