Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,465
- 2,859
Amani ya Mungu alie mbinguni iwe juu ya Watanzania wote.
Juzi mzee Butiku amesikika akisisitiza watu kutuwaogopa viongozi ambao ni wanadamu wenzetu, ambao kimsingi tukiwapigia kura, wanakuwa ni watumishi wetu kwa kukusanya kodi na kusimamia shughuli za maendeleo.
Hata maandikiko matakatifu, Mungu mwenye nguvu zote kasema, "come and let us reason together"
Msingi wa kujenga hoja kwenye masuala ya msingi ni sehemu ya patriotism spirit ambayo hatupaswi hata kwa dakika moja kuipoteza hapa Tanzania.
Kama kuna mtu ambae hatupaswi kabisa kumwogopa ni Rais wa nchi na taasisi ya urais kwa ujumla. Japo tunawajibika kuwaheshimu kwa kuwa ni viongozi na wanaongoza taasisi ya Urais.
Na kama kuna mtu ambae ni visionary kwenye kutaka ku-champion ujenzi wa uchumi endelevu na uchumi jumuishi ni Rais Magufuli. Mara kwa mara amejinasibu kama tu anaetaka ku-drive change ikiwemo kuwajengea uwezo wazawa (indigenous) ili kuwa sehemu ya kujenga uchumi wa Tanzania.
Rais Magufuli ni mtu mzuri kwa kauli zake ziko wazi at extent ya kuwezesha wazawa. Je, wasaidizi wake wana same motive na yeye au ni wakata umeme. Rejea kauli ya Rais Nov 2016 akiongea na waandishi wa habari, je, Msigwa au msaidizi wa Rais kwenye uchumi na uwekezaji, yupo open minded kiasi gani kushadadia hili litokee??
Kwa upande mwingine Rais JPM, iko haja akafahamu kuwa, kuna watu "wanamlinda" sana to the extent wanabinya motive nzuri kama hii hapa chini, aliyozungumza juzi wakati amechukua form ya Urais
Je ni namna gani anajenga mikakati na njia mbadala ya kupata feedback kwa investment projects anazotaka zitokee, mambo yawezekanike??
Policy za TIC kuna namna zimepitwa na wakati na hazina mikakati ya kufanikisha yale ambayo Rais anatamani yatokee, basi yatokee kwa haraka.
Rejea pia
Rais atavunja Bunge la JMT mwezi Juni. Tuko wapi na tunafika lini nchi ya asali na maziwa?
Jumapili njema wakubwa.