nakubaliana na hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nakubaliana na hili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jun 16, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  nakubaliana na hili juu ya hawa wafanyakazi kiufanya kazi kwa nguvu zao zote lakini mwisho wa siku hawapati posho, kama vile

  polisi halipwi posho kwa kulinda, mwalimu halipwi posho kwa kuingia darasani , nesi halipwi posho kwa kusafisha vidonda vya wagonjwa? messenger halipwi posho kwa kupeleka barua sehemu husika.mfagiaji halipwi posho pale anapokuwa anafagia,mpka chai wa ofisi halipwi posho pale anapo kuwa anachemsha chai,

  kama hao wote hawalipwi
  iweje mbunge alipwe posho ya laki moja na nusu kwa siku na pia mwisho wa mwezi anapata mshahara wa karibu million 4,zaidi ya mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi aliyekaa kazini miaka zaidi ya 30,kuna usawa hapo kweli?

  tena mimi nilitegemea walimu wa shule za msingi ndio wangekuwa na mishahara mikubwa kuliko hata hao wabunge wenyewe
   
Loading...