Nakubali kuitwa mjinga kuwa upande wa N. Korea ila sio mpumbavu ninayeshabikia mabavu ya USA!

Futuristic 73

Member
Aug 21, 2016
30
40
Hivi waafrika tunajisahau? Leo hii tunasahau wovu wote wa marekani kama hatuuoni....

Where is Ghadaffi?

Amani Syria imeenda wapi?
kwanini kuna military bases za U.S.A Africa nzima???
vyote hivi ni vitendo vya USA...!!!

Haya N.Korea ameshawahi kukufanyia baya lipi??? Juhudi zake za yeye kujiendeleza katika swala la kujilinda ndiyo umchukie??

Tunaamini habari chafu zinazosambazwa mitandaoni kuhusu N.Korea mitandao ambayo mmiliki wa hiyo mitandao ni U.S.A

Sadam Husein kwanini aliuawa? wewe unayejiita supporter wa USA unaweza kunijibu hili kwa usahihi?

BINAFSI NAHITAJI TAIFA ONEVU LA MAREKANI LIANGAMIZWE JAPO NI SUALA GUMU...Ilabasi hata mabavu yake yapunguzwe
 
Chuki yako na marekani haimaanishi kila bovu watakalofanya wengine uwatetee kwa kua tu wanapingana na US, nenda kaungane na ISIS uone kama watakubakiza.

US ni wabaya ndiyo, wako self centred ila nchi zote ndivyo zilivyo, zinajiangalia kimaslahi kwanza, we unawachukia kwa kua wao ndiyo the leading country, we angalia population yao ila wana~consume almost 50% of world resources.

Tanzania ingekua that powerful tungekua na tabia ka zao, haipingiki, angalia China anachofanya sasa hivi kugombania visiwa ambavyo hana miliki na hakuna nchi ya kumpigia kelele apart from US maana hawamuwezi.

Na naomba nirekebishe kauli yako kua mitandao inamilikiwa na US, hauko right hata kidogo, ndiyo wana uwezo wa kuspy activity yako lakini uwezo wa kucontrol media upo kwenye corporations not the US government, naongelea big companies like Google, wanauwezo wa kumanipulate search results wakakuletea wanachotaka wao ukione, ila hawafanyi hivyo, kwa nini?,sababu wako so distributed, anything like that can take the company down, nimefanya kazi na moja ya very big companies duniani najua hali ilivyo, ofisi zina a huge teams of people, watu kama wewe na mimi, na hasa hizi huge companies ukienda kama sillicon valley utashangaa idadi ya international guys waliopo pale, wachina, wajapan, wakorea, wahindi wamejazana, smart people from all around the world solving a certain problem, hamna kwamba ati watu wataandika code alafu ipite kwa US government guys waende kuichakachua waweke madudu yao ili kumanipulate people. Habari unazoona kwenye reputable sources mara nyingi ni za ukweli 100%, huku kuna waandishi wa habari bana ambao wamejitolea kufa ili upate habari halali sio mambo ya uchwara au wikileaks huijui?.

N.Korea sio wazuri kama unavyowahisi, kakae S.Korea hata mwaka moja ujionee, we mtu ambaye anakaa kufanya testing ya nuclear bombs waziwazi hutaki apingwe? Hehehehe acha utani, unajua effect inayoleta kwenye mazingira? Hiyo treaty ya kuacha testing US, Russia wote walisign. Wao wanachofanya ni ku~eliminate the threat before it grows bigger, hata ka ingekua ni sisi tumefika their level tungefanya the exact same thing, utaifa kwanza. Tafuta hela nenda China lipa uingia N.Korea ujionee mambo watu wanavyoishi chini ya sheria utadhani zimegeuka kua sharia za waislamu, kulala kwenye mkutano unanyongwa? Tuache utani, haiwezekani kulea watu wa namna hiyo. Mbona sisi tulienda kumuondoa Iddi Amin, aliachwa ndiyo maana akaanza hadi kuingilia interest zetu.
 
Chuki yako na marekani haimaanishi kila bovu watakalifanya wengine uwatetee kwa kua tu wanapingana na US, nenda kaungane na ISIS uone kama watakubakiza.

US ni wabaya ndiyo, wako self centred ila nchi zote ndivyo zilivyo, zinajiangalia kimaslahi kwanza, we unawachukia kwa kua wao ndiyo the leading country, we angalia population yao ila wana~consume almost 50% of world resources.

Tanzania ingekua that powerful tungekua na tabia ka zao, haipingiki, angalia China anachofanya sasa hivi kugombania visiwa ambavyo hana miliki na hakuna nchi ya kumpigia kelele apart from US maana hawamuwezi.

Na naomba nirekebishe kauli yako kua mitandao inamilikiwa na US, hauko right hata kidogo, ndiyo wana uwezo wa kuspy activity yako lakini uwezo wa kucontrol media upo kwenye corporations not the US government, naongelea big companies like Google, wanauwezo wa kumanipulate search results wakakuletea wanachotaka wao ukione, ila hawafanyi hivyo, kwa nini, wako so distributed, anything like that can take the company down, nimefanya kazi na moja ya very big companies duniani najua hali ilivyo.

N.Korea sio wazuri kama unavyowahisi, kakae S.Korea hata mwaka moja ujionee, we mtu ambaye anakaa kufanya testing ya nuclear bombs waziwazi hutaki apingwe? Hehehehe acha utani, unajua effect inayoleta kwenye mazingira? Hiyo treaty ya kuacha testing US, Russia wote walisign. Wao wanachofanya ni ku~eliminate the threat before it grows bigger, hata ka ingekua ni sisi tumefika their level tungefanya the exact same thing, utaifa kwanza. Tafuta hela nenda China lipa uingia N.Korea ujionee mambo watu wanavyoishi chini ya sheria utadhani zimegeuka kua sharia za waislamu, kulala kwenye mkutano unanyongwa? Tuache utani, haiwezekani kulea watu wa namna hiyo. Mbona sisi tulienda kumuondoa Iddi Amin, aliachwa ndiyo maana akaanza hadi kuingilia interest zetu.
Umechukua maneno ya propaganda umeyabeba hivo hivo pasipo kufikiri, hao US unadhani hawafanyi nuclear testing? Ati ukisinzia mkutanoni unanyongwa, hizi ni bs mmelishwa na main stream media na mmeingia mkenge. Umeshasiki NK amemlipua yeyote na hizo silaa. Marekani ameshawalipua Hiroshima na Nagasaki.
Maneno mengi hatutaki, tunataka huyo Mungu mtu wenu marekani alianzishe, yeye si ndio aemfuata na amemzunguka, alianzishe ujionee Goliath anavyoshushwa na David, ndio mtatambua kila lenye mwanzo huwa na mwisho.
 
We kila kitu utabaki kusema propaganda, alafu ukiambiwa utoe proof huna, utasema ulisikia kwa mtu flani, au ulisoma website flani ya udaku. Nipe sababu ya kuamini maneno yako. Wakati internet imeanza anza na adsense kazi za kuandika mambo ya conspiracy online hata mimi nilifanya, story za aliens, area51 na madude mengine hata mi niliandika maana watu wanaoziangalia ni wengi mno, matangazo yanalipa sana, kwa siku u can make $200 easily kama passive income, niliacha baada ya kuendelea. Sasa ndizo sources zenu hizo za information mnakuja hapa mnajihisi mnajua ukweli kumbe tulikua tunawa-manipulate tu kwa kuwaambia mnachotaka kusikia.

Mimi simtetei US, napenda Tanzania kwanza kuliko nchi nyingine yoyote, na wala sitaki wapigane vita, kitu ningependa kuona ni N.Korea inageuka kua a democratic nation hata kama hawatotaka kua na relationship yoyote ile na marekani haina shida, ila isiwe under the rule ya mtu moja, iwe under the rule of law. Vita bomu moja la nuclear likianguka hata bahati mbaya tu watu sio chini ya laki wanakufa, na miundo mbinu mfano likianguka Seoul tuseme, the major city in S.Korea inayotoa almost 80% ya GDP, tayari hiyo nchi itatoka kua ya 12 duniani hadi labda 120 huko ndani ya siku moja, sio kitu kizuri hata kidogo.
 
Wako watu wanayo mapungufu katika ufahamu wao. Ni kwa nini asiweke military bases kwake? Anaweka Afghanistan na kwingineko kwa kuwa hataki vita kwenye ardhi yake. At the same time waliomweka madarakani ndio wanataka silaha zao ziuzwe baada ya amani ya dunia kwa miaka 8
 
Umechukua maneno ya propaganda umeyabeba hivo hivo pasipo kufikiri, hao US unadhani hawafanyi nuclear testing? Ati ukisinzia mkutanoni unanyongwa, hizi ni bs mmelishwa na main stream media na mmeingia mkenge. Umeshasiki NK amemlipua yeyote na hizo silaa. Marekani ameshawalipua Hiroshima na Nagasaki.
Maneno mengi hatutaki, tunataka huyo Mungu mtu wenu marekani alianzishe, yeye si ndio aemfuata na amemzunguka, alianzishe ujionee Goliath anavyoshushwa na David, ndio mtatambua kila lenye mwanzo huwa na mwisho.
Halafu kwanini usinzie mkutanoni wakati mkuu wa nchi azungumza, dharau kubwa sana hiyo.
 
We kila kitu utabaki kusema propaganda, alafu ukiambiwa utoe proof huna, utasema ulisikia kwa mtu flani, au ulisoma website flani ya udaku. Nipe sababu ya kuamini maneno yako. Wakati internet imeanza anza na adsense kazi za kuandika mambo ya conspiracy online hata mimi nilifanya, story za aliens, area51 na madude mengine hata mi niliandika maana watu wanaoziangalia ni wengi mno, matangazo yanalipa sana, kwa siku u can make $200 easily kama passive income, niliacha baada ya kuendelea. Sasa ndizo sources zenu hizo za information mnakuja hapa mnajihisi mnajua ukweli kumbe tulikua tunawa-manipulate tu kwa kuwaambia mnachotaka kusikia.

Mimi simtetei US, napenda Tanzania kwanza kuliko nchi nyingine yoyote, na wala sitaki wapigane vita, kitu ningependa kuona ni N.Korea inageuka kua a democratic nation hata kama hawatotaka kua na relationship yoyote ile na marekani haina shida, ila isiwe under the rule ya mtu moja, iwe under the rule of law. Vita bomu moja la nuclear likianguka hata bahati mbaya tu watu sio chini ya laki wanakufa, na miundo mbinu mfano likianguka Seoul tuseme, the major city in S.Korea inayotoa almost 80% ya GDP, tayari hiyo nchi itatoka kua ya 12 duniani hadi labda 120 huko ndani ya siku moja, sio kitu kizuri hata kidogo.
Hta hizo habari wewe unazishikilia huna vithibitisho navyo, hujui kama ni kweli ama si kweli.
Basi kama unahofu bomu la nyuklia litaleta madhara, mwambieni baba wenu asimtibue, maana yeye huwa anayatest kivyake na hakuna mtu ameuwawa na hizo testings zao, ajabu ni kuwa ni mmarekani ndio ameua watu na hizo bomu, mkorea anafanya sayansi zake, usa ni nani awapangie kipi cha kufanya.
Demokrasia wacha waisake wakorea kask wenyewe, masuala ya kupangiana demokrasia yalishafeli nchi za iraq, afghanistan, libya, syria, vietnam n k ni mifano hai.

So marekani wakitulize
 
Chuki yako na marekani haimaanishi kila bovu watakalofanya wengine uwatetee kwa kua tu wanapingana na US, nenda kaungane na ISIS uone kama watakubakiza.

US ni wabaya ndiyo, wako self centred ila nchi zote ndivyo zilivyo, zinajiangalia kimaslahi kwanza, we unawachukia kwa kua wao ndiyo the leading country, we angalia population yao ila wana~consume almost 50% of world resources.

Tanzania ingekua that powerful tungekua na tabia ka zao, haipingiki, angalia China anachofanya sasa hivi kugombania visiwa ambavyo hana miliki na hakuna nchi ya kumpigia kelele apart from US maana hawamuwezi.

Na naomba nirekebishe kauli yako kua mitandao inamilikiwa na US, hauko right hata kidogo, ndiyo wana uwezo wa kuspy activity yako lakini uwezo wa kucontrol media upo kwenye corporations not the US government, naongelea big companies like Google, wanauwezo wa kumanipulate search results wakakuletea wanachotaka wao ukione, ila hawafanyi hivyo, kwa nini?,sababu wako so distributed, anything like that can take the company down, nimefanya kazi na moja ya very big companies duniani najua hali ilivyo, ofisi zina a huge teams of people, watu kama wewe na mimi, na hasa hizi huge companies ukienda kama sillicon valley utashangaa idadi ya international guys waliopo pale, wachina, wajapan, wakorea, wahindi wamejazana, smart people from all around the world solving a certain problem, hamna kwamba ati watu wataandika code alafu ipite kwa US government guys waende kuichakachua waweke madudu yao ili kumanipulate people. Habari unazoona kwenye reputable sources mara nyingi ni za ukweli 100%, huku kuna waandishi wa habari bana ambao wamejitolea kufa ili upate habari halali sio mambo ya uchwara au wikileaks huijui?.

N.Korea sio wazuri kama unavyowahisi, kakae S.Korea hata mwaka moja ujionee, we mtu ambaye anakaa kufanya testing ya nuclear bombs waziwazi hutaki apingwe? Hehehehe acha utani, unajua effect inayoleta kwenye mazingira? Hiyo treaty ya kuacha testing US, Russia wote walisign. Wao wanachofanya ni ku~eliminate the threat before it grows bigger, hata ka ingekua ni sisi tumefika their level tungefanya the exact same thing, utaifa kwanza. Tafuta hela nenda China lipa uingia N.Korea ujionee mambo watu wanavyoishi chini ya sheria utadhani zimegeuka kua sharia za waislamu, kulala kwenye mkutano unanyongwa? Tuache utani, haiwezekani kulea watu wa namna hiyo. Mbona sisi tulienda kumuondoa Iddi Amin, aliachwa ndiyo maana akaanza hadi kuingilia interest zetu.
Dah! Ndugu yangu ulianza vizuri sana. Yani hapo mwanzo niliadhani kweli kua wamarekani wanaleta uonezi tuu. Maelezo yako yakanifanya nifikirie tofauti. Mwisho kabisa ukanishangaza kuona kua maelezo yote utayahusisha na uislam! Uislam umekukosea nini ndugu yangu? Umetoa mfano kua ulifanya kazi kwenye kampuni kubwa duniani ipi na ulikua kama nani? Hakuna kampuni kubwa ya kukuchukua mtu kama wewe na kukuweka kwenye siri zote. Utaishia kwenye kufagia na kusafisha vyoo. Sisi wote tulikua tunasoma habari kua alqaeeda wanaua tu watu. Isis wanaua tu watu. Wameua kweli. Je tulijua kua ni vikundi vilivyoanzishwa na wamerakni kwa maslahi yao? Na si wote wenye mawazo finyu ya kukubali kuburutwa tu kila siku kama sisi watanzania ambao hatuwezi kusimamia haki zetu kwa uwoga tu. Watu wana hamu pia ya kuona nchi zao zinakua mataifa makubwa sio marekani tu kila siku. Kama sisi watanzania tumeridhika na hilo ndo north Korea pia waridhike? Hata wakishindwa watakua wamejaribu. Na siku moja ukiamua kufikiria kwa akili zako na kuacha dhana ya kuamini kila unacholishwa na wamarekani kua ni sahihi utagundua kua marekani ndio tishio kwa amani. Utagundua kua vita nyingi inayoendelea chanzo ni marekani. Ili tu wauze silaha zao. Iddi Amin hakua na lolote baya. Ni propaganda na ilibidi tu atolewe kwa kua hakua anakubaliana na wayahudi. Nyerere akatumiwa tu kumtoa. Au na wewe unaamini kua alikua akila nyama za watu? Alikua akiua walemavu? Inafaa kuamka na kuanza kufikiri kwa akili zetu na sio kuamini kila tunachoambiwa.
 
Hivi waafrika tunajisahau? Leo hii tunasahau wovu wote wa marekani kama hatuuoni....

Where is Ghadaffi?

Amani Syria imeenda wapi?
kwanini kuna military bases za U.S.A Africa nzima???
vyote hivi ni vitendo vya USA...!!!

Haya N.Korea ameshawahi kukufanyia baya lipi??? Juhudi zake za yeye kujiendeleza katika swala la kujilinda ndiyo umchukie??

Tunaamini habari chafu zinazosambazwa mitandaoni kuhusu N.Korea mitandao ambayo mmiliki wa hiyo mitandao ni U.S.A

Sadam Husein kwanini aliuawa? wewe unayejiita supporter wa USA unaweza kunijibu hili kwa usahihi?

BINAFSI NAHITAJI TAIFA ONEVU LA MAREKANI LIANGAMIZWE JAPO NI SUALA GUMU...Ilabasi hata mabavu yake yapunguzwe
Ww ni muafrica .... unatetea nchi za watu weupe za nn.? Tete nchi yako...busijifanye mjuaji sana?
 
Yani ukifuatilia kwa umakini ni USA pekee yake ambaye uwa anatumia siraha za maangamizi kushambulia wengine.
Anazuia wengine wasitengeneze wakati yeye now an program ya kuboresha siraha zake za nuclear.
Sijui nani alimpa ukiranja wa dunia
 
Dah! Ndugu yangu ulianza vizuri sana. Yani hapo mwanzo niliadhani kweli kua wamarekani wanaleta uonezi tuu. Maelezo yako yakanifanya nifikirie tofauti. Mwisho kabisa ukanishangaza kuona kua maelezo yote utayahusisha na uislam! Uislam umekukosea nini ndugu yangu? Umetoa mfano kua ulifanya kazi kwenye kampuni kubwa duniani ipi na ulikua kama nani? Hakuna kampuni kubwa ya kukuchukua mtu kama wewe na kukuweka kwenye siri zote. Utaishia kwenye kufagia na kusafisha vyoo. Sisi wote tulikua tunasoma habari kua alqaeeda wanaua tu watu. Isis wanaua tu watu. Wameua kweli. Je tulijua kua ni vikundi vilivyoanzishwa na wamerakni kwa maslahi yao? Na si wote wenye mawazo finyu ya kukubali kuburutwa tu kila siku kama sisi watanzania ambao hatuwezi kusimamia haki zetu kwa uwoga tu. Watu wana hamu pia ya kuona nchi zao zinakua mataifa makubwa sio marekani tu kila siku. Kama sisi watanzania tumeridhika na hilo ndo north Korea pia waridhike? Hata wakishindwa watakua wamejaribu. Na siku moja ukiamua kufikiria kwa akili zako na kuacha dhana ya kuamini kila unacholishwa na wamarekani kua ni sahihi utagundua kua marekani ndio tishio kwa amani. Utagundua kua vita nyingi inayoendelea chanzo ni marekani. Ili tu wauze silaha zao. Iddi Amin hakua na lolote baya. Ni propaganda na ilibidi tu atolewe kwa kua hakua anakubaliana na wayahudi. Nyerere akatumiwa tu kumtoa. Au na wewe unaamini kua alikua akila nyama za watu? Alikua akiua walemavu? Inafaa kuamka na kuanza kufikiri kwa akili zetu na sio kuamini kila tunachoambiwa.
Na mimi nimebase kwa watu kama kina Sadam husein na Muamar Ghadaffi
 
Hivi waafrika tunajisahau? Leo hii tunasahau wovu wote wa marekani kama hatuuoni....

Where is Ghadaffi?

Amani Syria imeenda wapi?
kwanini kuna military bases za U.S.A Africa nzima???
vyote hivi ni vitendo vya USA...!!!

Haya N.Korea ameshawahi kukufanyia baya lipi??? Juhudi zake za yeye kujiendeleza katika swala la kujilinda ndiyo umchukie??

Tunaamini habari chafu zinazosambazwa mitandaoni kuhusu N.Korea mitandao ambayo mmiliki wa hiyo mitandao ni U.S.A

Sadam Husein kwanini aliuawa? wewe unayejiita supporter wa USA unaweza kunijibu hili kwa u
BINAFSI NAHITAJI TAIFA ONEVU LA MAREKANI LIANGAMIZWE JAPO NI SUALA GUMU...Ilabasi hata mabavu yake yapunguzwe
Mkuu, kumiliki zana kali za kivita ni HAKI ya taifa lolote. Hasa kama viongozi wake wana akili timamu.
Ikiwa DPRK watapigwa itakuwa ni kwa sababu ya KUJIGAMBA kwao. Kila mara wamekuwa wakitamka "TUTAUNDA MIZINGA ya kufika Marekani"
Sasa? hata kama ni wewe mtu anakuambia "Nitakumaliza wacha nijiandae" Utangoja mpaka alitekeleze hilo tisho?

Kama una akili timamu utahakisha UMEUMALIZA uwezo wake wa kukushikia panga , mkuki ama kisu. Ndo haya sasa.
KUJIGAMBA kwa DPRK ndo chanzo cha kutaka kupigwa. Kama angezitengeneza silaha zake za kujihami na ANYAMAZE ingekuwa afadhari. Lakini kutisha mataifa mengine HAIKUBALIKI.
 
Back
Top Bottom