ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,532
- 44,648
Wajomba/shangazi zangu wa Jf kwanza nianze kwa kuwaeleza Hali halisi ya kiuchumi nayopitia.mimi kiukweli bado tegemezi kwa zaidi ya asilimia 60.namaanisha kipato changu nasaidiwa na wadau wengine ndugu zangu.sasa siku hizi kipato changu kinachezea chini ya dollar mbili kwa siku.pesa yangu kwa siku nayopata na kutumia Ni chini ya 5000.na nikisema niiweke akiba Basi jua itakuwa vigumu kuipata nyingine inanibidi niitumie hio pesa ndo nipate angalau nyingine.ndio maisha yangu hayo Mimi na vijana wengi wa kitanzania.toka mwanzo natambua kuwa jukumu la kulipia guest ni la mwanaume.nina mademu Kama watatu hivi afu huwezi kuamini nimewapata kizali zali yaani bila kuwa na hela wamenielewa uzuri Ni kwamba hawaniombi hela.sasa tatizo lipo kwenye mimi kukosa hela ya kukodi chumba guest House ili nifanye nao mambo SI mnajua tena.sina chumba naishi home na siwezi kufanya ujinga wa kuingiza demu ndani kwetu.mpaka nimechoka akili Kama juzi Valentine day nimeshindwa kugemua kisa Sina 10000 ya guest.najua humu ndani Kuna hamuwezi kushindwa kunisaidia chochote.nawasikiliza nyie kwa Sasa ndio msaada wangu natanguliza shukrani.