Nakosa hamu ya kuoa matukio ninayoshuhudia kwa macho yangu ama kusimuliwa

Kamati nouma mzee baba kuna haja ya kujiongeza
Noma sana dah mshkaji kapoteza sifa zote za kuitwa mwanaume. Ila wanawake mtuone huruma. Angepiga japo kamati ya 500 ila mshkaji kapigwa kamati ya 100000. Yan huyo mwanamke angekua na wenzo wa kumwamishia huyo mshkaji mimba angefanya hivyo ili tu kukwepa majukumu.
 
Umsaidie nini? Kakuambia anahitaji kunasuliwa?
Ndoa ni ya watu wawili....
Yawezekana karogwa maisha kusaidiana ningempeleka kwa mganga wamtoe minyororo haiwezekani umfulishe chupi zako mwanaume tena nje tukiwa tunashuhudia..... Au ndio wewe nn??
 
Noma sana dah mshkaji kapoteza sifa zote za kuitwa mwanaume. Ila wanawake mtuone huruma. Angepiga japo kamati ya 500 ila mshkaji kapigwa kamati ya 100000. Yan huyo mwanamke angekua na wenzo wa kumwamishia huyo mshkaji mimba angefanya hivyo ili tu kukwepa majukumu.
Alafu kadem kenyewe kadogo mnooo..... Sijui kanajivunia nn... Mimi nakaroga tuu kanakua kachizi...
 
Mkuu usihukumu haraka, huwezi jua maisha ya watu wawili. Mnajuaje kama huyo jirani mke wake ana tatizo fulani ambalo limefanya akatazwe kufanya shughuli hizo? Mgonjwa si hadi ashindwe kutembea. Wapo wengi wamezuiwa kufanya baadhi ya mambo au wana matatizo yanayowafanya washindwe kutekeleza majukumu fulani. Sio lazima wawambie majirani.

After all, Hii si sababu ya kukufanya uogope kuoa.
 
Duuu sasa wewe inakuhusu nn mkuu?!

Piga kazi tafuta pesa hapa mjini kila mtu na kichaa chake
Mi nahisi unamuonea donge jamaa ana demu mkali
 
Yawezekana karogwa maisha kusaidiana ningempeleka kwa mganga wamtoe minyororo haiwezekani umfulishe chupi zako mwanaume tena nje tukiwa tunashuhudia..... Au ndio wewe nn??
Hayo ni mambo yao, waacheni asee mtaanza na kumpangia jamaa apige vingapi
 
Duuu sasa wewe inakuhusu nn mkuu?!

Piga kazi tafuta pesa hapa mjini kila mtu na kichaa chake
Mi nahisi unamuonea donge jamaa ana demu mkali
Kwakweli angekua wangu nikutafuna tuu na nnampango kumfukuzia
 
Mkuu usihukumu haraka, huwezi jua maisha ya watu wawili. Mnajuaje kama huyo jirani mke wake ana tatizo fulani ambalo limefanya akatazwe kufanya shughuli hizo? Mgonjwa si hadi ashindwe kutembea. Wapo wengi wamezuiwa kufanya baadhi ya mambo au wana matatizo yanayowafanya washindwe kutekeleza majukumu fulani. Sio lazima wawambie majirani.

After all, Hii si sababu ya kukufanya uogope kuoa.
Hakika mku yawezekana ikawa
 
Nilizani fumanizi kumbe hayo ni mgawanyo wa Kazi lisikuzuie kuoa ni jinsi wewe na system yako tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom