Nakohoa kila ikifika saa saba au saa nane usiku

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,062
3,682
Hapo vipi,

Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi.

Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana.

Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa.

Wataalam tafsiri yake nini.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aiseh pole
Tafuta tiba sahihi
Mi nilikuwa nakohoa sana namshukuru Mungu nilimwomba kwa Jina la Yesu sasa kukohoa kumepungua sana
Mungu akusaidie aiseh
 
Wakati mwingine inaweza kuwa ni allergy,jaribu kuwaona wataalamu wa afya waliobobea,wanaweza kukupa msaada...
 
Hapo vip!!
Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi...

Ni takribani miaka sasa.. ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana..au saa zingine saa saba mchana...

Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa...

Wataalam tafsiri yake nini...
Umeshawahi kwenda hospitali? kama bado fanya uende haraka kama itashindikana ndio uanze kutafuta m'badala wake..
 
Tegesha alarm kama dakika 10 kabla uamke unywe maji.
Hapo vipi,

Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi.

Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana.

Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa.

Wataalam tafsiri yake nini.
 
Hapo vipi,

Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi.

Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana.

Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa.

Wataalam tafsiri yake nini.
Miaka mingapi?

Labda una allegy ya kitu flani. Jichunguze vizuri huwa umekula/kunywa nini dakika kadhaa kabla hujaanza kukohoa
 
Back
Top Bottom