Elections 2010 Nako maswa mambo magumu!

Status
Not open for further replies.

chals

New Member
Nov 1, 2010
2
0
Hbari za uhakika kutoka maswa zinasema kuwa mpaka sasa Tume wameshindwa kutangaza matokeo kwani maswa magharibi na Mashariki yaani kwa SHIBUDA NA KASULUMBAYI - CCM wamepigwa sana, nahisi wanachakachua ili wayatangaze. BIG UP CHADEMA. Stay tuned.
 
nasikiliza Radio Wapo sasa; Shyinganga Mjini Mabomu yamelipulia rasmi na matokeo yamesheleweshwa japo ahadi ilitolewa saa 5 asubuhi yangetangazwa, jimbo lina vituo zaidi ya 200; CHADEMA inaonekana imeshinda.

Joseph Msami --- Taharuki -- Ubungo
raia wanataka matokeo haraka -- sauti zinapazwa hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom