Nakiri nilikosea....leo naongea kila kitu ili nipone hii tabia yangu mbaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakiri nilikosea....leo naongea kila kitu ili nipone hii tabia yangu mbaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Dec 16, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,390
  Likes Received: 22,272
  Trophy Points: 280
  Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 sasa, nimehitimu elimu yangu ya juu kwenye moja kati ya vyuo vikuu vilivyopo hapa mjini.
  Nimelelewa kwenye familia ya wafanyakazi waajiriwa wa serikalini ambao ni maaskari polisi, hivyo basi maisha yangu yote nimeishi kwenye nyumba za laini za jeshi la polisi.
  Kutokana na kuishi watu wengi kwenye eneo dogo, niliiga tabia za watoto wenzangu, tulikuwa tunaamka usiku na kuanza kupipita kwenye nyumba za majirani huku tukiangalia ni nyumba gani ambayo baba na mama mwenye nyumba wamelala usingizi wa wakubwa.
  Nilikuwa mahiri sana wa kupiga deo hadi nikapewa jina la koziman.
  Nimeendelea na tabia hiyo sugu kwa kipindi chote hicho tanghu nikiwa darasa la tatu hadi jana nilipofumaniwa kwa kuanguaka kutoka darini kwa mpangaji mwenzangu ambako nilipanda juu ya dari ili niwafaidi vizuri wakikamuana.
  Baada ya kushtushwa na kishindo nikawa nimeumbuka kiasi kwamba leo naogopa kurudi jioni.
  Naiomba mnisaidie ili niweze kuiacha kabisa tabia hii ambayo inanivunjia heshima kwenye jamii...
  Nimejaribu nimeshindwa, ukifika tu usiku usingizi huwa unaniruka hadi nione watu wakilana mambo.
  Nisaidieni mwana jamvi mwenzenu ili nipate kupona.
  Nimeongea ukweli mtupu kutoka moyoni mwangu kwani mficha maradhi kifo kitamuumbua.
  Naogopa nsije nkauawa kwa kupiga deo
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  aaaah!
  wanawake walivyojazana hivi bado kuna watu DOMO-ZEGE?
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hii ni PHYSCHO issue, nakushauri uoe haraka iwezekanavyo then utakuwa huna mda wa kwenda kupiga chabo, pia utakuwa unatumia muda wa kupiga chabo kwa kujipiga chabo na mke wako.
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  duh!
   
 5. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mkuu napita shida sana kuamini kama m2 wa miaka 26. aliyehitimu Elimu ya juu can do this!! please Tell us you have made this story. yaani imekataa kuniingia akilini kabsaaa!!
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nenda jolly-club pale.wao wanataka mkwanja!SIO KUTONGOZA.watakufundisha utamu na raha ya ile kitu
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Hehehe nashangaa hujapoteza uwezo wa kuona.

  Kama mdomo wa chini ni mzito endeleza ngunga kaka usihofu maana unajipimia mwenyewe maana zilizo halisi nyingi ni bwanga!!!

  utani tu kaka. tuliza kindulu umri wako bado sana maana kama ungeanza tusingepata michango yako hapa. subiri mpaka ufike 30 yrs ndipo uende darasa la kutongoza. UNA DADA? kama yes nitumie namba yake nitampa ujumbe wako kwake akuambie
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  tunamuuguza jirani yetu ameteguka mguu, kisa alikuwa anampiga chabo mkewe bafuni akioga tena choo cha nje teh!
   
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  kwa taarifa yako uliyekua unamchabo ndiye mimi!! kwa usalama zaidi pale ghetto usifiki!! nina hasira na wewe sana
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  haya tena!
  KUMEKUCHA!
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Dec 16, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  nahisi kama ni hadithi ya kutunga kuchangamsha jamvi , ila sikupuuzi mwanajamii mwenzangu kwa tatizo lako.
  hujamalizia mkasa , je ulipoanguka toka darini walikufanyaje, walikupiga wakakuacha, je hawakukuitia mwizi, je majirani zake walitambua kua hiyo ni matokeo ya chabo ama ....ukifafanua mazingira hayo utakua umetufumbua macho juu ya mkasa.
  pole kwa tabia yako mbaya na ya aibu , adui yako mkubwa ni akili yako, hakuna raha yoyote kupitia chabo, ni kujilisha upepo tu, bila shaka umepata somo maridhawa.
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  huyu shujaa inabidi tutafute jina moja la barabara hapa bongo tuiite jina lake (bujibuji road).
  kwa ufupi greati thinka hapa uko beyondi repair! labda kichapo cha wananchi wenye hasira kali ndio kinaweza kukubadilishia mtindo wa maisha wa laifustaili yako.
  pole sana! wakikujeruhi utatuPM.
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,307
  Trophy Points: 280
  Ohooo mchunie mwenzako hiyo si hali ya kawaida..
  Kaka nakushauri uende ukamwone daktari wa psychology haraka iwezekanavyo...u av a psycho problem!
  The next thing ukipata chance utabaka hata ndugu yako..watch out na kama uko serious, run to a doctor!now..usimalizie kusoma..
   
 14. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2009
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  sifikiri kama kuoa ni suluhisho la tatizo la huyu jamaa maana huyu nimwathirika tatizo hapa nchi kwetu hatuna wataalamu wa kutosha wa kuweza kumsaidi huyu jamaa huyu jaama anatakiwa afundiswe kutumia akili yake kufikiri upya kuhusu hili jambo maana watu kama hawa utashangaa anaoa na anaenda kupiga chabo ni aweze kuja kulala na mkewe ni swala la jinsi anavyofikiri zaidi kuliko unavyowza kufikiri
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wewe bujibuji umeoyesha udhaifu mkubwa sana!

  SHAME ON YOU MAAN!
   
 16. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Du dunia kweli ina mengi!
  Pole kaka, hii ni addiction kama zilivyo nyingine such as madawa ya kulevya, bangi, punyeto na hata porno.
  Watu wasikunyooshe vidole , unaweza kuta nao wameathirika na mengine kati ya hayo nilotaja. Mungu kakusaidia umekuwa mkweli (kama ni kweli story yenyewe), hiyo ni right direction, so mi nashauri uende umtafute dr, kuna dada mmoja anaitwaga sadaka, sijui kwa undani lakini nadhani kazi hizi anaziweza. Cha zaidi, unaweza kumrudia Mungu na kutubu na kuomba akusaidie uushinde huo udhaifu. Go bless.
   
 17. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwani shida ni nini jamani? I think the man was in the learning process. Anastahili pole badala ya vipondo kwani aliumia wakati akiwa mazoezini. Pole Bujibuji kama ni wewe kama ni mwingine mpe pole pia. Ila ushauri wa Nguli is more suitable
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tembelea thread ya mambo ya kikubwa nadhani usingizi utakuja baada ya kulowanisha mkono na tumbegu twa kiume. ila nakushauri tumia olive oil maana sabuni za siku hizi zimetoka china zinakwangua mashine kinoma unaweza ukatoka na mabaka kama kenge huko kwenye mpingo ohoo
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  LOL! Puli tena? huo ugonjwa mwingine.
   
 20. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  wewe badala ya kuwaza pesa unawaza kula kozi ya deo? pole kijana
   
Loading...