Nakaya sumari

Alikimbilia kwa mafisadi akitegemea kupewa kicheo chochote bor angebaki chadema leo hii angekuwepo mjengoni.
 
Kweli. Usiache mmbachao kwa msala upitao. Walimdanganya. Wamemtumia kama kondom - Lady Pepeta - wakatwanga kisha wakaitupa!

Alikuwa anakubalika sana kule Arusha, na kweli angeingia Viti Maalum! Ni kutokomaa kisiasa. Amejifunza. Hatakosea tena.
 
Hata kiakili pia, kutojua tofauti ya 1+1 na 1-1.
she got alichostahili
 
Alichimba kaburi lililomzika mwenyewe
she is now dead politically let others learn from her.
 
Kuondoka kwake CDM ilikiwa in heri sana maana angewatia aibu sana kijamii.
 
Kweli. Usiache mmbachao kwa msala upitao. Walimdanganya. Wamemtumia kama kondom - Lady Pepeta - wakatwanga kisha wakaitupa!

Alikuwa anakubalika sana kule Arusha, na kweli angeingia Viti Maalum! Ni kutokomaa kisiasa. Amejifunza. Hatakosea tena.

Nashawishika kuamini haya. Mpeni nafasi ya pili jamani.
 
kuna tetesi aliahidiwa neema katika mashirika ya kimataifa ili aiteme chadema ila ahadi iyo ingali inaota mbawa kweli she is very frustrated i met her in one of the hotel in arusha! BUT SHE HAS TIME TO RETHINK AND RETHINK FOR HER ACTION!
 
Kachezea shilingi karibu na tundu la choo imetumbukia. Ni basi tena imekula kwake
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom