Nakaya kurudi CCM ni sawa na kula matapishi

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,253
Jamani nimeshtuka na kutahayari baada ya kusikia kuwa Nakaya katoka Chadema na Kurudi CCM,hapo numa aliapa kuwa kamwe haitaipigia debe CCM sasa hii U turn imekuwaje,ama kweli hizi fedha za mafisadi zinawaumbua watu kumbe kelele zote za akina Nakaya & CO ni njaa tu na sio usongo wa nmaisha bora kwa wa TZ
 
Naomba pia tukumbuke chama cha siasa siyo baba wala mama yako, hivyo unaweza toka chama kimoja hadi kingine kulingana na wakati na mazingira, ndo maisha kama kula kwako kunategemea siasa.
Kumbukeni historia fupi ya mh. Steven Wasira ya kuhama chama kwenda upinzani na maisha yalivyomwendea kombo na maisha yake na kurudi ccm na maisha yakamwendea swaaafi
 
ulikuwa wapi siku zote mkuu sisi huyo staa tulishamzika siku nyingi kwenye tasnia ya uzalendo kwa mtindo wa kumfukia kama mtu aliyejiua.
 
Jamani nimeshtuka na kutahayari baada ya kusikia kuwa Nakaya katoka Chadema na Kurudi CCM,hapo numa aliapa kuwa kamwe haitaipigia debe CCM sasa hii U turn imekuwaje,ama kweli hizi fedha za mafisadi zinawaumbua watu kumbe kelele zote za akina Nakaya & CO ni njaa tu na sio usongo wa nmaisha bora kwa wa TZ

acha uvuvuzela wee,amewashtukia wamwaga damu nyie.
 
Nasikia mafisadi wanampatia JOKA LENYE JICHO MOJA ile mbaya. Ukimwi hautaisha, Tanzania bila ukimwi haiwezekani.
 
Jamani nimeshtuka na kutahayari baada ya kusikia kuwa Nakaya katoka Chadema na Kurudi CCM,hapo numa aliapa kuwa kamwe haitaipigia debe CCM sasa hii U turn imekuwaje,ama kweli hizi fedha za mafisadi zinawaumbua watu kumbe kelele zote za akina Nakaya & CO ni njaa tu na sio usongo wa nmaisha bora kwa wa TZ

acha uvuvuzela wee,amewashtukia wamwaga damu nyie.
 
Na wewe Boma 2000 utaondoka lini CCM ili urudi?

Mkuu Mimi sina chama naona raha sana kutoshabikia vyama vya siasa maana naamini wanasiasa nia yao kuwafanya washabiki na wanachma ngazi ya kufikia malengo yao, unakuta mtu mzima anapigwa na jua siku nzima bila hata kunywa maji kufurahisha chama au mgombea ambae kesho wala hakujui, siko fanatic kabisa.
Sababu ya msimamo wangu ndiyo maana nashangaa kwa nini mtu akifanya kitu for ccm anaoneka hafai, njaa nk, mtu akitoka ccm kwenda upinzani au akafanya kitu for upinzani ndo anaoneka safi na wamaana. naona huo ni msimamo ambao si wa kidemokrasia maana mnatka kuwanyima watu haki zao kuamua kuwa upande wa siasa leo, kesho akiamua abadiliki hata kesho kutwa aamue vinginevyo maana anatumia uhuru wake. Tatizo nini?
 
Jamani, acheni kumzonga mtoto wa watu: chadema haitoi sapoti yoyote kwa wagombea wadogo
 
msishaangae akirudi Chadema wakati tutakapokuwa tunakwenda iulu sisi chadema. Huo kaenda usononesha tu moyo wake. njaa imempeleka huko:embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1:
 
Aliwahi kusema kuwa hata Nyerere angekua hai angejiunga na Chadema sasa yeye mwenyewe huyoooooo,
 
Mdogo wangu Nakaya, nimeangalia orodha ya wabunge wa viti maalumu wa CCM humo, katika orodha ya wabunge wa viti maalumu wa CHADEMA humo. Mkakati wako wa kuhama toka CHADEMA nilifikiria waenda kuwa katika orodha ya viti maalumu vya CCM. Basi ngoja tukusubiri katika vile viti KUMI vya Mheshimiwa Rais. Nakutakia kila jema katika maisha yako ya kisiasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom