Mimi nikiwa kama mtanzania sikubaliani na Hisa zote za UDA kuuzwa na kununuliwa na Kampuni ya Simon Group,
Hisa za UDA zinunuliwe na wananchi wote wenye Uwezo na walioko tayari kununua.
Watanzania tusikubali ufisadi huu.
Mh Rais Magufuli tumbua hilo jipu la UDA
Hisa za UDA zinunuliwe na wananchi wote wenye Uwezo na walioko tayari kununua.
Watanzania tusikubali ufisadi huu.
Mh Rais Magufuli tumbua hilo jipu la UDA