Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

Mtandaoni ni shughuli, wanasambaza habari kama vile tuko under Marshall law, kama vile hawaruhusiwi kunywa soda, bia, chakula, kwenda kona bar, le charlz, riverside, mabibo, elements au havoc, kuanzia j5 wamajezana huko utafikiri kumbikumbi!
Vitu viko bwelele madukani, bei za kawaida, foleni mabarabarani mpaka unakinai..
Kifupi kila kitu kipo..
Tatizo ni mfumo wa maisha tuliozea zamani, wakubabaisha, wa kutokutaka au kupenda kufuata sheria bila shuruti, tulizoea kufoji vyeti, malipo, kuiba, kudanganya, mishe mishe, kutishiana sababu ya vyeo na uvivu, kuandika mikataba mibovu tushibishe matumbo yetu, kuvunja sheria za kila namna, kuanzia kuharibu mashine za kuscan mizigo bandarini, airport, hadi kuweka mabomba yetu wenyewe ya mafuta port! Tuliishi kama kule uwanja wa fisi, kila mtu alifanya atakavyo yeye, ililuwa inatisha, mfanyakazi serikalni anaingia kazini saa nne asubuhi, anasaini, anaenda kunywa chai masaa 2, anarudi anababisha lisaa, huyo lunch, ndiyo imetoka mpaka kesho! Tunajiuzia magari/vipuri/mashine za mashirika ya umma kama mashati mitumba, tunajimilikisha majengo ya dola na ardhi kama njugu, wafanyakazi serikalini hasa wale sehemu nyeti walikuwa ndiyo ma-tycoons, wanamijengo na mijengo mingi ya kifahari huku mishahara yao haizidi laki nane kwa mwezi! Kila mwezi wanasafiri wao na mahawara ughaibuni kuvinjari, walipaisha bei za nguo, viatu na shule binafsi bila huruma, waliishi kama mbinguni! Private sector waliingiza madawa ya kulevya, mchele feki, kukwepa kodi na kusafirisha rasilimali na maliasili kama vile zilikuwa zao! It was free for all, vyama kinzani na wale "watetezi wa haki za binadamu" ili kupata umaarufu wanafanya juu chini kuvunja sheria ili waswekwe ndani kelele zisikike kwa wafadhili wao wazidi kuletewa hela!
Hatutaki kubadilika, tukiamini utawala wa JPM utabadilika na kuruhusu ule uhuni wa zamani! Tukisahau ndio kwanza miaka 3 bado 7!
Ukweli tutanyooka tu, haya ndiyo maisha halisi, walioshi ughaibuni wakija hapa sidhani kama watapata shida, wamezoea utaratibu huu, miaka na miaka...
 
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].

Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.

Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.

Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.

Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.

Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.

Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?

Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.

Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.

Wakatabahu,

Alhaji N. Ngabu .
Wakikusikia akina Chriss Kumekucha na Marandu wake watakuchukia mkuu!
 
Kwanza huwezi kuuangalia uchumi wa wananchi kwa macho ya kawaida. Kwamba kwa vile wanakula kiti moto ama wanakonoka na wake zao ama wapenzi wao ndio eti uchumi upo vizuri hata siku moja. Watu wanafukuzwa kazi, watu wanakosa ada za watoto, wasomi wanakosa mikopo, na hata wakipata hizo degree kazi hakuna, thamani ya shilling inazidi kushuka, mfumuko wa bei sasa umepaa Zaidi tena kwa zile bidhaa muhimu (sukari, mafuta ya kula, unga, cement na nyenginezo) wastaafu kupata stahiki zao sasa ni kitandawili, hakuna kupandishwa vyeo makazini sembuse kupanda mishahara, kila uchwao makampuni yanazidi kufifia (fuatilia bandiko la Mjomba wangu Pascal Mayalla idadi ya wafanyakazi aliopunguza). Tuliite chepeo, CHEPEO na sio kijiko kikubwa. HALI NI MBAYA NA HAKUNA MSAMIATI MWENGINE TUSIJIBABAISHE.
 
Mtandaoni ni shughuli, wanasambaza habari kama vile tuko under Marshall law, kama vile hawaruhusiwi kunywa soda, bia, chakula, kwenda kona bar, le charlz, riverside, mabibo, elements au havoc, kuanzia j5 wamajezana huko utafikiri kumbikumbi!
Vitu viko bwelele madukani, bei za kawaida, foleni mabarabarani mpaka unakinai..
Kifupi kila kitu kipo..
Tatizo ni mfumo wa maisha tuliozea zamani, wakubabaisha, wa kutokutaka au kupenda kufuata sheria bila shuruti, tulizoea kufoji vyeti, malipo, kuiba, kudanganya, mishe mishe, kutishiana sababu ya vyeo na uvivu, kuandika mikataba mibovu tushibishe matumbo yetu, kuvunja sheria za kila namna, kuanzia kuharibu mashine za kuscan mizigo bandarini, airport, hadi kuweka mabomba yetu wenyewe ya mafuta port! Tuliishi kama kule uwanja wa fisi, kila mtu alifanya atakavyo yeye, ililuwa inatisha, mfanyakazi serikalni anaingia kazini saa nne asubuhi, anasaini, anaenda kunywa chai masaa 2, anarudi anababisha lisaa, huyo lunch, ndiyo imetoka mpaka kesho! Tunajiuzia magari/vipuri/mashine za mashirika ya umma kama mashati mitumba, tunajimilikisha majengo ya dola na ardhi kama njugu, wafanyakazi serikalini hasa wale sehemu nyeti walikuwa ndiyo ma-tycoons, wanamijengo na mijengo mingi ya kifahari huku mishahara yao haizidi laki nane kwa mwezi! Kila mwezi wanasafiri wao na mahawara ughaibuni kuvinjari, walipaisha bei za nguo, viatu na shule binafsi bila huruma, waliishi kama mbinguni! Private sector waliingiza madawa ya kulevya, mchele feki, kukwepa kodi na kusafirisha rasilimali na maliasili kama vile zilikuwa zao! It was free for all, vyama kinzani na wale "watetezi wa haki za binadamu" ili kupata umaarufu wanafanya juu chini kuvunja sheria ili waswekwe ndani kelele zisikike kwa wafadhili wao wazidi kuletewa hela!
Hatutaki kubadilika, tukiamini utawala wa JPM utabadilika na kuruhusu ule uhuni wa zamani! Tukisahau ndio kwanza miaka 3 bado 7!
Ukweli tutanyooka tu, haya ndiyo maisha halisi, walioshi ughaibuni wakija hapa sidhani kama watapata shida, wamezoea utaratibu huu, miaka na miaka...

Superb observation!
 
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].

Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.

Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.

Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.

Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.

Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.

Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?

Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.

Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.

Wakatabahu,

Alhaji N. Ngabu .
Hicho cheo cha "Alhaj" umekipata wapi.
au unaona Raha tu kujiita Alhaj.
 
kaka zaman bata zilikua kama zote bwana... watu wanapak magari yao wanapanda daladala unsema hali sio mbaya..watu kila jumamos walikua wanaenda minada ya nyama lakin sasa hv waulize hao masai anaishia kuuza mbuzi 20 out of 100@day?aka sitak kukubaliana na hoja yako
walokua wanapenda kupiga pamba ss hv hawavai kivile.. khaa
Zamani Nani alikuwa anawapa jeuri na sasa hawapatii hio jeuri
 
Kila uongozi watu hajaacha kulalamika hali ngumu.
Kipindi cha Nyerere sijui ila kipindi ya Mwinyi watu walilalamika sana maisha magumu,alipokuja Mkapa kulalamika hivo hivo maisha magumu eti enzi za Mwinyi hela nje nje.

Watu walimchoka mkapa na lawama maisha magumu,alipokuja kikwete waanza tena "ooh heri enzi za mkapa"
Kikwete katoka sasa hivi kulalamika vyuma vimekaza heri hata kikwete.

Sijui tunataka nini,hata angekuja Yesu kutawala watu tungelalamika tu.
 
Mapumbavu ndio yanaaminisha watu kuwa maisha ni magumu wakati wao wanakesha kwenye mabaa na kula bata
Huku mitandaoni sasa kumeshakuwa ni sehemu ya uhalisia mbadala [alternate reality].

Ukiishi huku utaambiwa na kuaminishwa kuwa huku uraiani sasa hivi hakukaliki. Utaaminishwa [na kama ukiwa mjinga, mvivu, na zuzu, utaishia kuamini kweli] hali ya maisha ni mbaya mno. Hayo utayoaminishwa yatakufanya ujenge taswira nyingi mno kichwani.

Unaweza ukapata taswira ya kwamba sasa hivi Watanzania wengi wanalala njaa. Watanzania hawana nguo za kuvaa. Maduka hayana bidhaa. Watu wanakula nyasi na panya kama ilivyokuwa huko Zimbabwe miaka kadhaa iliyopita. Watoto wa shule hawana kalamu wala daftari. Watu hawanywi pombe. Hawali kitimoto. Hawaogi. Hawana magari. Hawachepuki. Na mengineyo lukuki.

Lakini mtu ukiachana na hayo maneno ya kwenye mitandao na uingie mwenyewe uraiani ujionee na upate tajiriba ya uhalisia wa mambo, utaishia kuhitimisha kuwa huko kwenye mitandao kuna upotoshaji na utiaji chumvi mkubwa sana.

Tembea tu huku na kule jijini Dar, nenda mikoa mingine na wilaya zake, utaona maisha ya watu yanaenda tu kama ilivyo siku zote.

Mara umekutana na msafara wa harusi. Umekaa kwa Mangi unakunywa Konyagi yako ya kupimiwa mara ghafla unaona kigoma kinapita na watu, wake kwa waume, wakubwa kwa watoto, wanajiachia tu.

Sasa kama uko ni mtu wa tafakuri, utajiuliza, ‘mh...hivi hiyo hali mbaya inayozungumziwa huko kwenye mitandao ndo ipi hasa’?

Kwa hiyo, kusema ukweli mimi nakataa kabisa. Nabisha. Nasema hali si mbaya. Hali iko vile vile tu ambavyo imekuwa karibu siku zote, ukiondoa labda enzi zile ambapo watu tulikuwa tunaenda kupanga mstari kwenye maduka ya ugawaji kununua mikate ya Siha, sukari, sabuni za Mbuni na Mbunju, na mahitaji mengine.

Zaidi ya hapo, kelele kelele za huko mitandaoni hazina mashiko. Ni za watu wanaotapa tapa tu. Wafamaji.

Wakatabahu,

Alhaji N. Ngabu .
 
Kila uongozi watu hajaacha kulalamika hali ngumu.
Kipindi cha Nyerere sijui ila kipindi ya Mwinyi watu walilalamika sana maisha magumu,alipokuja Mkapa kulalamika hivo hivo maisha magumu eti enzi za Mwinyi hela nje nje.

Watu walimchoka mkapa na lawama maisha magumu,alipokuja kikwete waanza tena "ooh heri enzi za mkapa"
Kikwete katoka sasa hivi kulalamika vyuma vimekaza heri hata kikwete.

Sijui tunataka nini,hata angekuja Yesu kutawala watu tungelalamika tu.

Yup!

It’s always been like that.

Hata Magu atapoondoka itakuwa hivyo hivyo tu.
 
Back
Top Bottom