Nakaribisha swali lolote kuhusu printer ya konica Minolta Bizhub

Oct 17, 2018
14
13
Je wewe unapenda kufanya digital printing?
Printer aina ya konica minolta ndio zinatumika kurahisisha kazi yako printing.
Sisi ni wataalamu wabobezi wa hizi printing machines pamoja na Ysoft na MyQ.
Nakaribisha swali lolote kuhusu printer ya konica Minolta Bizhub karibuni sana
 
kwa nin hazina ubora kama XEROX workcenter machines!

ukiprint page nyingi za aina moja zingine zinaanza kupotea rangi kupishana na zingine khaaa
 
Biashara ni pamoja na kujitambulisha;
Ofisi ilipo,
Namba za simu
Website
 
kwa nin hazina ubora kama XEROX workcenter machines!

ukiprint page nyingi za aina moja zingine zinaanza kupotea rangi kupishana na zingine khaaa

Kwenye kuprint color kuna kitu kinaitwa transfer belt,
Kazi ya tranfer belt ni kuuchukua picha ya Magenta, cyan, yellow na black na kuisafirisha kwenye karatasi.
Tatizo la image kujirudia au mara zote linatokana na shida kwenye tranferbelt. Pia angalia developer unit na laser unit kufanya rangi nadhifu.
 
Weka picha yake mkuu
bizhub_C227-2.jpg

Hii ni C227 konica minolta bizhub
 
Kwenye kuprint color kuna kitu kinaitwa transfer belt,
Kazi ya tranfer belt ni kuuchukua picha ya Magenta, cyan, yellow na black na kuisafirisha kwenye karatasi.
Tatizo la image kujirudia au mara zote linatokana na shida kwenye tranferbelt. Pia angalia developer unit na laser unit kufanya rangi nadhifu.
hilo.unalosema ni sawa ila technologia ya kuchanganya rangi ndo Konica mmefeli
 
Bado best professional printer in the world ni konica bizhub hizi printer zina specifications ambazo wengi wetu atuzifuati.
watu wengi wanatumia bizhub hapa tanzania kuliko printer zozote za rangi kwasababu ya quality graphic color
 
Je wewe unapenda kufanya digital printing?
Printer aina ya konica minolta ndio zinatumika kurahisisha kazi yako printing.
Sisi ni wataalamu wabobezi wa hizi printing machines pamoja na Ysoft na MyQ.
Nakaribisha swali lolote kuhusu printer ya konica Minolta Bizhub karibuni sana

Hii ni large format printer au ni za kawaida. Zinatumia wino wa aina gani na maximum zina uwezo wa kuprint size gani ya karatasi?
 
Hizi printer si largeformat ni laser machine. Zipo black and white na color na zinauwezo tofauti tofauti, zinaprint glossy maximum 350 g/s but zingine zinaishia 267 g/s. Ziana uwezo wa kuprint upana wa A3 na A4 pia.
 
Je wewe unapenda kufanya digital printing?
Printer aina ya konica minolta ndio zinatumika kurahisisha kazi yako printing.
Sisi ni wataalamu wabobezi wa hizi printing machines pamoja na Ysoft na MyQ.
Nakaribisha swali lolote kuhusu printer ya konica Minolta Bizhub karibuni sana
Printer gani nzuri ambayo naweza kupata kwa tsh.150,000-200,000/=?
 
Back
Top Bottom