Nakaribisha maswali kuhusu Tiba lishe na mfumo mzima wa Maisha katika kujikinga na magonjwa

namba moja tuu

Senior Member
May 4, 2017
162
142
Habari Wana jamvi karibuni tuweze kujadili namna vipi ya kujikinga na magonjwa yasio ambukizwa kupitia lishe na mfumo mzima wa maisha
 
Naomba kujua tiba lishe ya MTU ambaye tayari Ana tatizo la presha ya kupanda?kipi ale kipi asile
 
Naomba kujua tiba lishe ya MTU ambaye tayari Ana tatizo la presha ya kupanda?kipi ale kipi asile
Apendelee sana matunda kwakua kuna vitamin ambazo zinaenda kuimarisha kuta za moyo

Kupata vyakula vya mboga mboga kwakua zinamadini(minerals) Kama zinc nk Kwajili ya kuimarisha moyo kurudi katika mapigo take ya kawaida

Kuacha vyakula vyenye wanga na mafuta Kwa wingi

Muhimu mazoezi ili kupunguza mafuta mwilini
 
Habari Wana jamvi karibuni tuweze kujadili namna vipi ya kujikinga na magonjwa yasio ambukizwa kupitia lishe na mfumo mzima wa maisha
Naomba shule kuhusu hizi products za stem cells faida na hasara zake.

Je? Ni kweli zinatibu magonjwa megi Kama tunavyoaminishwa na promoters wa hizo products??
 
1:Aache vyakula vyenye sukari nyingi na wanga ikiwemo na chumvi nyingi
2: atumie matunda na mimea ambayo zitafanya cell zake ziweze kuhisi(sense) homoni zinazoweza kupunguza sukari katika cell Kama Kama cinnamon,curcurmin na turmeric
 
Naomba shule kuhusu hizi products za stem cells faida na hasara zake.

Je? Ni kweli zinatibu magonjwa megi Kama tunavyoaminishwa na promoters wa hizo products??
Kuhusiana na hizi product ni kweli Ila lazima ueleweshwe kwanza pia anaekuuzia azijue kazi yake sio unakuta tangazo tuu usishawishike na tangazo la product Bali ufanisi wake
 
Je kwa MTU mwenye diabetes chakula gani Kina mfaa
Huwa namfuatilia Dr Boaz Mkumbo Instagram. Anafundisha Sana kuhusu chakula na Mambo mengi kuhusu magonjwa ya kisukari.

Mtafute huko pia. Ana page ya Sayansi ya Mapishi pia huko Instagram
 
Elimu ya lishe ni Pana sana kwahiyo inategemea ww unataka kupata elimu katika Nyanja ipi waliouliza jamvini wamejibiwa na waliouliza PM wamejibiwa karibu Kwa swali
nakazia mimi nina miaka 26 na nina kg 95 naomba unisaidie nile milo ya aina ya makundi yapi niwe na kilo walau 70 au 68
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom