Suarez mbelwa
Member
- Apr 28, 2021
- 14
- 2
U.t.i iyo nduguNasumbuliwa na Maumivu ya Kiuno hasa nikiinama na nikikaa chini maumiv nayahisi lakini nikitembea or kulala maumivu kwa mbali msaada wenu tafadhar...
U.t.i iyo nduguNasumbuliwa na Maumivu ya Kiuno hasa nikiinama na nikikaa chini maumiv nayahisi lakini nikitembea or kulala maumivu kwa mbali msaada wenu tafadhar...
Hapa kuna risk ya kwamba Ulcers yako imeleta complication nayo inaweza kusababisha vitu kadhaa kimojawapo niHapana sipatwi na diarrhoea.
Ameeen.Hapa kuna risk ya kwamba Ulcers yako imeleta complication nayo inaweza kusababisha vitu kadhaa kimojawapo ni
-Tundu kwenye ukuta wa tumbo ambayo inaweza kupeleka peritonitis(ambayo ni inflammation kwenye peritoneum ,{the lining of the inner wall of the abdomen and cover of the abdominal organs}),hii inaleta maumivu unayoyaongelea au unayoyapitia.Ikiendele kwa muda mrefu inaweza kupelekea infection.Treatment ni tofauti lakini ningekushauri uende kwa spesialist wa magonjwa ya tumbo. Worse case scenario inaweza kuwa Gastric cancer!
Kila la kheri!
Una kitu kinaitwa plantar faciitis! Hii inasababishwa na inflammation kwenye kisigino ambayo huweza kusambaa mpaka kwenye vidole vya miguu.Heshima kwenu wakuu,
Dr. Mi nina tatizo la kisigino kuuma hasa asubuhi nikiamka na kukanyaga chini kisigino cha mguu wa kushoto kinauma kama nimekanyaga miiba, baada ya kutembeatembea maumivu hupungua kiasi...
Je umetumia dawa ya aina yoyote?Kwa matatizo yote mawili yanayokusibu?Doctor Nina tatizo la fungal infection chini ya korodan, pia nimejikuta kushindwa kusimamisha uume katika tendo la ndoa , pia msukumo wa hamu ya mapenzi umekua chini sana naomba msaada doctor
Mkuu, hivi minyoo ya Amiba dawa yake ya kuvitokomeza ni ipi, maana nimetumia sana vidonge vya Albendaz, havikunisaidia.Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana.
A
B
C
D
E
F
Dawa ambayo inakusaidia na fungus kati ya hizo tatu ulizotaja ni griseofulvin na sonaderm Gm.Omeflex ni dawa inayotumika kutibu maumivu yanayohusiana na arthritis so sijajua kwanini umeshauriwa utumie.Natumia sonaderm pamoja na griseofulvin pia nilishauriwa kutumia omeflex, dozi zinakaribia kuisha na tatizo la fangas linapungua taratibu lakini muamko wa hisia za mapenzi Bado sioni matokeo.
Nakushauri ukachekiwe MIGRAINE.Una dalili zake.Tafadhali ninaomba msaada, ninatatizo la kuumwa kichwa sana hasa kuanzia mda wa mchana ,kichwa kinauma chini ya jicho na kusambaa sehemu nyingine hasa nikilala, tatizo lilianza baada kuanza kusikia maumivu kwenye pua ya upande wa kushoto na pia kuhisi harufu ambayo siyo ya kawaida,nulionana na daktari ambaye aliniambia ninasumbuliwa na tatizo la sinuses na akaniandikia dawa ya amoxiclav nimemeza dozi lakini bado sijapata nafuu ,kichwa kinauma sana.Tafadhali ninaomba msaada wa ushauri nitumie dawa gani.Asante
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mikono inakufa ganzi pia?Naomba msaada wa kitiba au ushauri.
Nina tatizo la kutokwa na misuli mikononi, yani kutoka kwenye kiganja hadi kwenye kipepsi/kisukusuku na huwa ikitoka mikona yote inakuwa na maumivu. Naomba kujua utatuzi wa hali hii kitaalamu.
Una tatizo la superficial folliculitis(razor bumps),hali hii inatokea bacteria wanapoingia kwenye hair follicles na kusababisha inflammation.Tiba zipo tofauti kutokana na kama una muwasho tu au una infection pia.Usafi ni muhimu,safisha hilo eneo na maji vuguvugu pamoja na antibacterial soap mara mbili kwa siku na kausha kwa taulo safi.Kama vipele vinawasha unaweza kutumia hydrocortisone cream. Mwanzoni inashauriwa usinyoe kwa miezi mitatu .Ikisha Epuka kunyoa kwa kinyozi na mashine za kuchangia,nunua mashine yako binafsi ambayo utatumia wewe tu.Abari Dr...kuna miaka kama kumi imepita nilienda kunyoa nywele sehem baada ya hapo nkaanza kupata viupele kichwan yaan vinakuwa na majimaji iv vinakauka alafu vinarudi ...mpaka sasa bado vinasumbua afu cha kushangaza vinatokea sehem fulan mfano sehem za mbele za kichwa sehem nyingne havipo kabsa..je nitumie dawa gani... Ahsante
Asante sana doctor kwa ushauri, ngoja niufanyie kaziUna kitu kinaitwa plantar faciitis! Hii inasababishwa na inflammation kwenye kisigino ambayo huweza kusambaa mpaka kwenye vidole vya miguu.
Hali hii inatokana na kusimama muda mrefu kwenye sakafu(kutokana na kazi mf) bila kuvaa viatu sahihi au huwapata wanariadha.
Unaweza kumaintain kwa kuepuka kusimama muda mrefu au kuvaa viatu vyenye soli maalum vinavyosupport kisigino,kama uzito wako wa mwili umezidi nakushauri pia ujitahidi kupungua.
Kama hali ikiwa mbaya sana cortison injections ni option nyingine.
Kila la kheri
Hapana! inapotoka hiyo misuli ambayo sio ya kawaida, nahisi tu maumivu yani, kama vile yani hiyo misuli inazidiwa na damu mfano wake. Na inakuwa hivyo ninapotembea ikiwa inaning'inia, lakini haifi ganzi nahisi tu maumivu.!Mikono inakufa ganzi pia?