Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Me kila nikifanya ngono na mpenzi wangu ,huwa sishuki hadi bao tatu ndo mzigo unasinyaa kama dk 10 hivi then unakuwa na uwezo wa kuamka ,nataka kujua tatizo ni nin?
 
Shikamoo mkuu, naomba kufahamu tiba ya pearly penile papules pamoja na bawasiri na pia sikio langu huwa nalihisi kama lina maji na huwa linawasha kiasi pamoja na kuziba kwa muda mrefu lakini kila hospital nilioenda nimeambiwa sina tatizo nikapiga na bomba hadi nikawa nazisikia hatua zangu kama bomu lakini wapi, msaada tafadhali.
Bawasili unatumia vitamin b complex 25,000iu, vitamin E 400iu, vitamin C 2000iu, in divided doses, calcium 800mg, and magnesium 1,200 mg. Vingine matunda ya cranberry, flaxseed inanyonya maji, goldenseal.
Au
Tangawizi
 
Hello Dr naweza kukupata inbox, Nina private case ningependa kukuuliza na nijue namna unavyoweza saidia
Diet yako lazima iwe alkaline , kumbuka virus anaishi kwenye nyama nyekundu na mafuta, kwa hiyo acha nyama na mazao yake kama maziwa, dawa Ziko nyingi ila nitakutajia chache za tiba mbadala (natural remedies).
Goldnseal, echinacea (ila hii kama una hiv usitumie), burdock, licorice root, na zinginezo nyingi, ukichelewa unapata saratani /kansa
 
Ok, very !
Mkuu ninatatizo nikikaa kwa mda flan hivi nikiwa nimebanwa na mkojo ile kubanwa kabsa halafu nikawa busy na kazi ama nimekaa tu na siendi kukojoa, huwa natokwa na maji maji flan ivi kwa hyo huwanajikuta na loana ndyo sijajua kwamba ndyo waga ni mkojo wenyewe au vipi, na kama ni mkojo je, kwa hiyo kibofu kitakuwa kimelegea kinaruhusu mkojo bila mimi kujifahamu? ?
 
Dr.dawa ya kuondoa kabisa tonsil stone kinywani Ni ipi? Pili Nina allergy mafua toka 1994 hayaniishii naishi nayo nakumbuka 1997 nilitibiwa kcmc lakini bado Ni shida hapa naandika sms nipo vibaya full mafua, msaada wako Dr.pls
 
Samahan daktar,naomba ufafanuzi juu ya kutofautuana kwa korodan(tests), nyingine kuwa kubwa na nyingine kuwa ndogo,na nn kinacho sababsha tatzo hilo na n IPI tiba yak
 
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
 
dokta ubarikiwe. mama angu ana tatizo la mifupa, yaani inampekecha miguu na mikono. inapelekea kukakamaa. nini tatizo
 
Dawa za hepatitis b yaani truvada hazipo kabisa hospital za rufaa je wagonjwa wanaeza pata madukani
 
Ok, very !
Mkuu ninatatizo nikikaa kwa mda flan hivi nikiwa nimebanwa na mkojo ile kubanwa kabsa halafu nikawa busy na kazi ama nimekaa tu na siendi kukojoa, huwa natokwa na maji maji flan ivi kwa hyo huwanajikuta na loana ndyo sijajua kwamba ndyo waga ni mkojo wenyewe au vipi, na kama ni mkojo je, kwa hiyo kibofu kitakuwa kimelegea kinaruhusu mkojo bila mimi kujifahamu? ?

Ni kawaida mkojo ukibana sana kuna muda zile muscles zinachoka na kuachia mkojo
Cha muhimu we ukibanwa kakojoe tu unakatibisha matatizo mengine yasiyo ya lazima
 
dokta ubarikiwe. mama angu ana tatizo la mifupa, yaani inampekecha miguu na mikono. inapelekea kukakamaa. nini tatizo

Hilo ni tatizo linaoowapata wanawake wengi wakishapita menopause aende hospitali watamuanzisha dozi za ku balance hormones na hopefully atakua salama
 
Hello Dr. Habar? Nina shida for almost a month nasikia sikio likiunguruma na muda mwingine linawasha sana na hutokea sana usiku na sijui shida nini. Naomba msaada wako plz......?
 
51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom