mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Vitunguu saum vinanipa maumivu ya kichwa na homa tatzo ni nini?
Bawasili unatumia vitamin b complex 25,000iu, vitamin E 400iu, vitamin C 2000iu, in divided doses, calcium 800mg, and magnesium 1,200 mg. Vingine matunda ya cranberry, flaxseed inanyonya maji, goldenseal.Shikamoo mkuu, naomba kufahamu tiba ya pearly penile papules pamoja na bawasiri na pia sikio langu huwa nalihisi kama lina maji na huwa linawasha kiasi pamoja na kuziba kwa muda mrefu lakini kila hospital nilioenda nimeambiwa sina tatizo nikapiga na bomba hadi nikawa nazisikia hatua zangu kama bomu lakini wapi, msaada tafadhali.
Juice ya mboga za majaniGanzi miguu na mikono inanitesa sanaa msaada tafadhari
Diet yako lazima iwe alkaline , kumbuka virus anaishi kwenye nyama nyekundu na mafuta, kwa hiyo acha nyama na mazao yake kama maziwa, dawa Ziko nyingi ila nitakutajia chache za tiba mbadala (natural remedies).Hello Dr naweza kukupata inbox, Nina private case ningependa kukuuliza na nijue namna unavyoweza saidia
ShukranBawasili unatumia vitamin b complex 25,000iu, vitamin E 400iu, vitamin C 2000iu, in divided doses, calcium 800mg, and magnesium 1,200 mg. Vingine matunda ya cranberry, flaxseed inanyonya maji, goldenseal.
Au
Tangawizi
Ok, very !
Mkuu ninatatizo nikikaa kwa mda flan hivi nikiwa nimebanwa na mkojo ile kubanwa kabsa halafu nikawa busy na kazi ama nimekaa tu na siendi kukojoa, huwa natokwa na maji maji flan ivi kwa hyo huwanajikuta na loana ndyo sijajua kwamba ndyo waga ni mkojo wenyewe au vipi, na kama ni mkojo je, kwa hiyo kibofu kitakuwa kimelegea kinaruhusu mkojo bila mimi kujifahamu? ?
dokta ubarikiwe. mama angu ana tatizo la mifupa, yaani inampekecha miguu na mikono. inapelekea kukakamaa. nini tatizo
Nina Tatizo La Lips Kuwa Kavu Na Kuchanika Hata Kama Nikipaka Mafuta