Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Habar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.
IMG_20181218_212132.jpeg
IMG_20181218_212149.jpeg
IMG_20190213_094654.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.View attachment 1028387View attachment 1028388View attachment 1028389

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kuwa na tatizo kama lako ila lilikwisha lenyewe ,pole sana dogo
 
Nakwenda mazowezi asubuhi, nikimaliza nakunya maji ya kawaida ya kutosha. Nikitoka apo naenda ofisini na nikifika kuna reception ananiandalia maji yenye uvuguvugu na limao than anachanganya nakunywa. Lengo ni kupunguza mafuta. Suali langu ni kwamba tunatakiwa tunywe maji yenye uvuguvugu tukiamka lakini mimi nakunywa nikifika ofisini na pia nakunywa sijala kitu chengine chochote. Je? Ile faida ya kupunguza mafuta ntaipata?
 
Habar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.View attachment 1028387View attachment 1028388View attachment 1028389

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo kama hili linantokeaga pindi nkiogea maji ya aina fulani hivi..Mara nyingi inantokea nkiwa moshi vijijini nkiogea tu sio Musa mrefu naanza hako kautaratibu,.ila nlishajua issue iko kwenye maji ya Kule,.maana moshi mjini nimekaa kwa kipindi kirefu sana na sikuwahi pata hii shida.Nafikiri pia Kwako inawezekana kuwa ni same issue,hebu jaribu kubadili mkoa unaokaa,.nenda sehem nyingine ujue utupe mrejesho.Mwisho hili co tatizo la kuku katisha Tamaa ya Kuishi,piga moyo Konde ushindi upo.Hold on abit longer.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Habari Dokta, Tatizo Langu ni kuhusu vitu au vinywaji vyenye Sukari, Nikinywa au nikitumia Vit t vyenye sukari Napoteza kuona kuona vizuri na Mwili unakua Mlegevu/nakua na Uchovu,..Nimepima sukari Nimeambiwa Ipo Kawaida,,
 
Dr. ninaomba utoe ushauri wa matibabu mbadala ya Multinodular Goiter bila kufanya Operation. Nasikia ziko Natural Therapy zinamaliza kabisa Goiter. Hata mwana JF ambaye ameshapona Goiter au ndugu kwa diet au dawa za asili ninaomba atusaidie tuna ndugu ana tatizo la Goiter imegundulika wiki tatu zilizopita na iko katika stage za awali. Bado kujitokeza kwenye shingo.
 
Habar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.View attachment 1028387View attachment 1028388View attachment 1028389

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hiyo style ya kuvimba na kuwasha inanipata sana mara nyingi nikila nyama ya nguruwe au kumywa maziwa ya mgando, nahisi ni aina flani ya allergy, kuna mahali niliambiwa antihistamine cream inaweza kusaidia kwa kipaka maeneo yote yaliyovimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.View attachment 1028387View attachment 1028388View attachment 1028389

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana usikate tamaa sio wewe tu unapitia haya nilivyokuwa form five nilianza kuumwa usawa wa koo linakuwa linakauka nikawa nameza dawa hali inatulia kama mwezi inaanza tena ikapelekea ufaulu form six haukuwa vizuri ila nikaomba Mungu nami niende chuo kwa maksi zangu na nipate mkopo pia nikajibiwa maombi

nimefika chuo kikuu mwaka wa kwanza hali ikawa inazidi kuchangamka kuwa wa kuumwa kila siku nikawa natumia hela ya boom ya chuo kufanya matibabu lakini hali ikawa ngumu na masomo nayo magumu pua zikawa zinaziba mafua ya mara kwa mara mbaya zaidi madarasani kulikuwa na AC nikawa napata shida sana kifua kinabana masomo nayo nikaona sifurahii kabisa

Nimeenda na hiyo hali ya kusoma kwa shida na boom ikitoka tu siku hiyo hiyo nakimbilia hospital kupewa dawa na kumwona daktari nikawa hela ni kwa matibabu tu , siku nimehitamu masomo yangu nikashikuru Mungu sana nikarudi nyumbani nimekaa nimemsindikiza mama yangu hospitali alikuwa anamatatizo ya figo nikamweleza dokta hali yangu bila kuwa na faili nilipo msindikiza mama akaenda kunipeleka kwa speciliast bila malipo yeyote specialist akagundua kuna uvimbe tezi imetokea kwa ndani karibu na koo akanifanyia operesheni bila malipo yeyote na sasa nimepona nawe utapona tu usijali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. ninaomba utoe ushauri wa matibabu mbadala ya Multinodular Goiter bila kufanya Operation. Nasikia ziko Natural Therapy zinamaliza kabisa Goiter. Hata mwana JF ambaye ameshapona Goiter au ndugu kwa diet au dawa za asili ninaomba atusaidie tuna ndugu ana tatizo la Goiter imegundulika wiki tatu zilizopita na iko katika stage za awali. Bado kujitokeza kwenye shingo.

Kuna dawa inaitwa carbamazole in short matibabu yasiyohusisha operesheni yapo pia kuna radioactive iodine unaweza pewa ni just kuonana na dokta wako achague ni jinsi gani atakutibu kulingana na hali yako na pia inategemea hiyo goiter imefikia levo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.View attachment 1028387View attachment 1028388View attachment 1028389

Sent using Jamii Forums mobile app
Hellow,
Je umeshajaribu kula dawa yoyote ya allergy?
Una tatizo linaloitwa URTICARIA/HIVES ,tatizo hili linaweza kuwa la mpito au chronic(la muda mrefu).Hili tatizo linaweza kusababishwa na allergy au pia isiwe allergy.Linaweza kusababishwa na vichochezi tofauti ukiachilia mbali maji,mfano jua,chakula,hali ya hewa(joto/baridi),maua(pollen),dawa za aina ya NSAID`s n.k
Unachotakiwa kufanya ni kutibiwa na dawa za allergy(ANTIHISTAMINES) aidha desloratadin 5mg kwa muda wa wiki kadhaa na dozi yake inakuwa ya juu mfano vidonge 4 kwa siku au unaweza kutibika pia na prednisolon tablets kwa muda.
 
Hello Dr naweza kukupata inbox, Nina private case ningependa kukuuliza na nijue namna unavyoweza saidia
 
Back
Top Bottom