mnang'umba
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 470
- 139
Niliwahi kuwa na tatizo kama lako ila lilikwisha lenyewe ,pole sana dogoHabar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.View attachment 1028387View attachment 1028388View attachment 1028389
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.

Aisee hiyo style ya kuvimba na kuwasha inanipata sana mara nyingi nikila nyama ya nguruwe au kumywa maziwa ya mgando, nahisi ni aina flani ya allergy, kuna mahali niliambiwa antihistamine cream inaweza kusaidia kwa kipaka maeneo yote yaliyovimbaHabar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.View attachment 1028387View attachment 1028388View attachment 1028389
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana usikate tamaa sio wewe tu unapitia haya nilivyokuwa form five nilianza kuumwa usawa wa koo linakuwa linakauka nikawa nameza dawa hali inatulia kama mwezi inaanza tena ikapelekea ufaulu form six haukuwa vizuri ila nikaomba Mungu nami niende chuo kwa maksi zangu na nipate mkopo pia nikajibiwa maombiHabar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.View attachment 1028387View attachment 1028388View attachment 1028389
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr. ninaomba utoe ushauri wa matibabu mbadala ya Multinodular Goiter bila kufanya Operation. Nasikia ziko Natural Therapy zinamaliza kabisa Goiter. Hata mwana JF ambaye ameshapona Goiter au ndugu kwa diet au dawa za asili ninaomba atusaidie tuna ndugu ana tatizo la Goiter imegundulika wiki tatu zilizopita na iko katika stage za awali. Bado kujitokeza kwenye shingo.
Salama Dr. natanguliza shukrani! Dr naomba nisaidie namna ya kupandisha BMI nina uzito wa 54.25kg na urefu wa 175cm. Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa kwasikio linaalotoa muugurumo Kama Luna Mani na macho ambayo hayaonimbali
Hellow,Habar Doctor? Naitwa Ray nina miak 22, ni Kijana wa Kiume..Naishi Dar.
2014 nilipima nikaambiwa nina Allergy.. Kipindi hicho ilikuwa Nikimaliza Kuoga Tu nawashwa Mwili Mzima kama dkk 15. Niwe nimetumia au Sijatumia Vitu nilivyo na Allegy navyo! Nimejarb kubadili kila aina ya Maji mpk special, Moto na Baridi, Sabuni, Mazingira Ila ukimaliza Kuoga tu lazm niwashwe.
2016 nikawa sasa nikitokwa Jasho nawashwa, Nikiloa na Mvua.
2017 nikawa Nawashwa mda mwngne Viganjani na Unyayoni, Nakuwa na Hofu, Moyo kwenda Mbio au Kushtuka Mda Mwngne.
2018 Nikawa Kila Siku usiku najikuna hasa usiku wa Manane, Muwasho mtamu.
2019- Mda wowote nawez Nikawashwa mwili kila nikikuna muwasho unazidi kuwa mtamu Ngozi inabdilika na Kuvimba kadri unavyokuna Ndivyo unavyozidi kuvimba, Mdomo na mpka Uume unavimba vimba sana Kiasi mpka ngozi inawamba Kupasuka. kama kweny Picha hapo Chini..
Sina HIV/AIDS nimepima Mara Nyingi.
Nimekata tamaa Kabsa ya Kuishi, Nimekuwa nikipata kazi natumia Kwa matibabu.. NAISI KIFO KINAGONGA HODI KWANGU NAISHI MAISHA YA MATESO
Plz Kama Unajua Dawa/ Tiba/ Au unamjua Yeyote Anayeifahamu Tiba iwe ya Kienyeji Au Medical Nisaidie. Aksante. Namb yangu 0746 785704 whatsup, Messsage and calls.View attachment 1028387View attachment 1028388View attachment 1028389
Sent using Jamii Forums mobile app
vyakula
matumizi
Hello Dr naweza kukupata inbox, Nina private case ningependa kukuuliza na nijue namna unavyoweza saidiaHellow,
Je umeshajaribu kula dawa yoyote ya allergy?
Una tatizo linaloitwa URTICARIA/HIVES ,tatizo hili linaweza kuwa la mpito au chronic(la muda mrefu).Hili tatizo linaweza kusababishwa na allergy au pia isiwe allergy.Linaweza kusababishwa na vichochezi tofauti ukiachilia mbali maji,mfano jua,chakula,hali ya hewa(joto/baridi),maua(pollen),dawa za aina ya NSAID`s n.k
Unachotakiwa kufanya ni kutibiwa na dawa za allergy(ANTIHISTAMINES) aidha desloratadin 5mg kwa muda wa wiki kadhaa na dozi yake inakuwa ya juu mfano vidonge 4 kwa siku au unaweza kutibika pia na prednisolon tablets kwa muda.