Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Habar za saa hizi!! Nina tatizo la mgongo kuniuma saanaa pale ninapo simama! Siwez kusimama mdaa mrefu nabanwa namaumiv makal kbsaa! Iliwah nitokea hali hii miaka 3 imepita nikaend hospital wa ka nipima ila hawaja ona ugonjwa wowote docta kanipa pain killer baada ya mdaa vikaisha., sasa iv maumiv yamerud yan hataree.,, nime nunua pain killer na nimemaliza doz ila hamna cocote kilico badilikaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari,
Ninamaumivu kifuani upande wa kushoto, ambayo huongezeka nikipumua na pia nikilala ubavu ubavu, kwa mara ya kwanza yalitokea usiku nikiwa nimelala na kuendelea mpaka asubuhi, baada ya 2 siku hivi yalipuangua na kubaki kwa mbali kwa muda wa wiki 2 ivi, jana usiku yamenitokea tena, hadi saivi bado yapo. Tatizo ni nini? na je matibabu yanapatikana kwenye hospitali za kawaida au mpaka niende hospitali kubwa kama Muhimbili?
 
Tatizo la moyo hilo... wahi hospital ya serikali iliyo karibu nawe watakupima kama sio ECHO basi ECG au Xray.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
Nauliza Irritable bowel Syndrome ni nini??? Inasababishwa na nini?? Matibabu au management ikoje???

Sent using Jamii Forums mobile app
Irritable bowel syndrome ni disturbance kwenye ufanyaji kazi wa utumbo mpana hali hii hupelekea maumivu kwenye tumbo,tumbo kujaa hewa,kubadilika badilika kwenye mfumo wa hajakubwa aidha kupata choo kilaini kuptiliza (diarrhoea) au choo kigumu(constipation),utelezi/slime kwenye hajakubwa.
Tatizo hilo linasababishwa kuongezeka kwa sensitivity ya utumbo,ambapo inaongeza ufanyaji kazi wa misuli ya utumbo mpana,haliihii hupelekea kuongezeka kwa hewa hata kubadilikabadilika kwenye mfumo wa haja kubwa.Inasemekana vilevile kwamba baadhi ya watu wamezaliwa na utumbo unareact na aina fulani ya karbohydrate.
  • Hili tatizo unaweza kumanage kwa kula vyakula vyenye fibers za kutosha,jaribu kuepuka kula vyakula ambavyo unaona ukila tatizo linaongezeka.
  • Uendaji wa choo kwa rutine unaweza kusaidia vilevile.
  • Probiotics(lactic acid bacterias) zinasaidia baadhi ya watu.Hii unaweza kupata kwenye mtindi au kununua vidonge maalumu
  • Kama tatizo limekuwa chronic kuna dawa inaitwa Linachlotide inaweza kutumika.
  • Fuata LOW FODMAP DIET nenda kwenye hii link usome Starting the Low FODMAP Diet | Monash FODMAP - Monash Fodmap
 
Nini sababu ya hio shida??? Maana unakuta mtu hajazaliwa na hio shida ila anapata ukubwani? Na kwa kiswahili inaitwaje?

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Habar za saa hizi!! Nina tatizo la mgongo kuniuma saanaa pale ninapo simama! Siwez kusimama mdaa mrefu nabanwa namaumiv makal kbsaa! Iliwah nitokea hali hii miaka 3 imepita nikaend hospital wa ka nipima ila hawaja ona ugonjwa wowote docta kanipa pain killer baada ya mdaa vikaisha., sasa iv maumiv yamerud yan hataree.,, nime nunua pain killer na nimemaliza doz ila hamna cocote kilico badilikaa
emoji37.png
emoji37.png
emoji37.png
emoji37.png

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuepuka kusimama muda mrefu katika pozi ambazo zinasababisha mgongo wako kuuma kwasababu kuna uwezekano mkubwa tatizo lako linaweza kuwa limekuwa chronic. Ni muhimu pia sana kujiweka kwenye physical activity hata kama mgongo unauma. Kuna pia mazoezi maalumu ya mgongo. Naweza kuuliza umetumia dawa gani?
 
Mazowezi kiukweli sifanyi kwa sababu ya kazi ninayofanya imenibana saana!! Na kazi nayo ifanya inanibid nisimame kabsaa bila hivyo mkono huingiyi kinwanik!! Dawa nilotumia nimemaliza yote hata packet sijui nimeweka wapi ila nimenunua chemistry baada ya kumpa maelezo muuguzi ndo kanipa dawa hio ya maumivu ya mgongo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello habari yako...

Pole sana na majukumu..

Nipo hapa kuwasilisha tatizo langu.
Nimeamka asubuhi naenda chooni haja kubwa najisaidia choose cheusi. Najiandaa kwenda kazini najihisi kizunguzungu. Natoka nyumbani nafika njiani napata kizunguzungu macho yanaona giza naishiwa nguvu na kutapika maji kama meusi hivi. Na sometimes kila nikitapika holaa.

Mkuu mpaka hapo tatizo nini...
Naomba muongozo kiongozi
 
Je unakula aina yoyote ya Iron supplement? Nenda ukachekiwa internally hosp kuna uwezekano una ulcers kwahio una bleed au cancer! Wahi hosp
 
Back
Top Bottom