Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Mkuu niliwahi kusikia kuna dawa za kupunguza excessive under arm sweating, kuna ukweli? kama ni kweli ni dawa gani? Au unashauri nini?

Ni excessive ambayo haiwezi kuzuiwa na deodorants, na hakuna harufu yoyote, haichagui baridi wala joto
 
Ingekuwa ni vizuri kama mhusika angefunguka zaidi kuhusu psoriasis inayomkabili na tiba alizopata mwanzo ili apate ushauri yakinifu mimi nimeorodhesha tiba tu zinazoweza kutumika in general lakini ofcoz kuna regime ambayo inatakiwa ifatwe.Kwasababu kuna vidonge na topical treatment.
Psoriasis ni chornic inflammatory skin condition inaweza kusababishwa na betahemolytic streptococcus(bacteria) au hata dawa kama (betareseptorantagonists,lithium au cloroquine),Inaworsen mtu akiwa na stress.
hapo tumekwenda sawa mumie thanks.
inapendeza kuona mtandaoni tunaweka mijadala kama hii inatufanya tupate elimu ya kutosha kwa njia bora zaid
 
Mkuu niliwahi kusikia kuna dawa za kupunguza excessive under arm sweating, kuna ukweli?kama ni kweli ni dawa gani? Au unashauri nini? Ni excessive ambayo haiwezi kuzuiwa na deodorants, na hakuna harufu yoyote, haichagui baridi wala joto
Ndio kuna deodorants zenye aluminium chloride(AlCl[SUB]3[/SUB]).Jaribu kutafuta hio utumie au njia nyingine ni sindano za botox!!
 
Fahari kwa JF !!
Dr. gorgeousmimi thankful kwa kujitolea, Niepuke na vyakula/dawa gani zinazoweza trigger uvimbi (tumor) sehemu mbalimbali au popote !!
Ubarikiwe..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: bbc
Samahani mkuu sitoweza kujibu swali lako uloliuliza na nina sababu kadhaa nitakazokuainishia kama vielelezo.
  1. Sijui unataka kujua kuhusu lethal injection kwaajili gani na kwa dhamira gani,you could be suicidal na mimi kukujibu naweza kuwa ndo nakupa tiketi ya kujimaliza au wengine wenye dhamira hio kuitekeleza.
  2. Jinsi itakakavyo athiri watu hapa JF doctor,kwasababu kuna watu wa aina tofauti na wenye utawa tofauti wa kufikiri!Utanisameh kwa hilo!
Niko against ACTIVE DEATH so sitojihusisha na suala hilo in any matters!

maadili na uweledi wa kitaaluma!#10000000LIKES
 
Dawa ya mba kwenye nywele ni ipi???
suleyman100 mba kwa lugha ya kitaalam ni seborroheic dermatittis inasababisha na fungi(malassezia furfur) tulokuwa nao mwili wakioverproduce.

Tiba inayotumika na wengi ni salisylicacid oil 2-5%.

Unapaka hayo mafuta kwa muda kisha unatumia kitana kukwangua mba.Au unaweza kutumia anti-fungal shampoo kama (ketoconazale shampoo au selensulphide shampoo).
 
Je? kuna dawa gani inayoweza kutibu vijipele kama vichunusi katika ngozi? zaidi ya ampiclox au kuna dawa gani mbadala wa grisiofulvin?(ya fungus)?
 
Fahari kwa JF !!
Dr. gorgeousmimi thankful kwa kujitolea, Niepuke na vyakula/dawa gani zinazoweza trigger uvimbi (tumor) sehemu mbalimbali au popote !!
Ubarikiwe..

Tumor ni mass of tissue,which may be solid or fluid filled.Tumor inaweza kuwa na cancer au bila cancer.Tumor zinatokea cells za mwili zikiwa zinakuwa na kujigawanya bila mpangilio.Kama kuna unbalance kwenye cell growth au matatizo kwenye immune system.
Vitu vinavyoweza kusababisha tumor ni:

  1. Benzene and other chemicals and toxins
  2. Drinking too much alcohol
  3. Environmental toxins, such as certain poisonous mushrooms and a type of poison that can grow on peanut plants (aflatoxins)
  4. Excessive sunlight exposure
  5. Genetic problems
  6. Obesity
  7. Radiation exposure
  8. Viruses
Types of tumors known to be caused by viruses are:

  • (human papillomavirus)
  • (hepatitis B and hepatitis C viruses)
 
gorgeousmimi

Ni nini tiba ya tatizo la kinywa kutoa harufu? Mswaki unatumia kila baada ya chakula, lakini ndani ya muda mfupi kinywa hutoa harufu kali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom