Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
- Thread starter
- #21
Mbna kma naanza kuona mchepko kwaida kwa wanandoa.Ach kumdanganya mwenzako, hapo atamchoka haraka sana mke wake, mimi nabaniwa hata wiki inaweza kupita sipewi mzigo, lakini siwezi kumuacha namuona mpya kila wiki, mzigo ninaomba akitoka hapo anajiuguza siku nne izo tatu ninaomba tena lakini ninapoa pembeni, kwa mchepuko wangu