Nakaribia Kuoa, Naomba ushauri kwa walio kwenye ndoa: Wewe Unafanyaje ili usitembee nje ya ndoa?

Ach kumdanganya mwenzako, hapo atamchoka haraka sana mke wake, mimi nabaniwa hata wiki inaweza kupita sipewi mzigo, lakini siwezi kumuacha namuona mpya kila wiki, mzigo ninaomba akitoka hapo anajiuguza siku nne izo tatu ninaomba tena lakini ninapoa pembeni, kwa mchepuko wangu
Mbna kma naanza kuona mchepko kwaida kwa wanandoa.
 
Jamani eeenh!sijui kama kuna kitu mmekinote hapo...mahusiano tu yanamiezi miwili alafu mtu anawaza ndoa tena ya kanisani haupo serious,maliza ujana kwanza ila uliyenae usimuache ila endelea kuchepuka mpk utakapoona sasa basi ndio umuoe uyo kama atakuwa na uwo uvumilivu bado.
 
Ukioa punguza kugonga nje, bakia na demu 1 wa nje kwa ajili ya kuwa unapumzika ila uwe msiri sana mkeo asigundue.
Acha kupekuwa simu ya mkeo utaishia kuwa na stress bure.
Mpe mimba kabla hujamuoa ili usije ukaleta mashataka kuwa hazai.
Habari zenu wakuu. Natumaini wote mpo wazima humu ndani.

Direct to the point:

Nimekuwa katika mahusiano ya kimapenz na wanawake wengi sana kabla ya kuamua officially kuchagua mmoja wa maisha yangu. Hivi sasa naishi na mchumba wangu mwezi wa pili sasa. Mpaka sasa nimeshamtolea mahari na tupo katika process ya kufunga ndoa takatifu.

Ila kuna jambo moja bado linanisumbua kichwa. Najiuliza hivi kweli nitaweza ishi the rest of my life huku ninakula "K" ya mke wangu tu bila kuchepuka?????????

Yan nimekaa naye miez miwili bila kuchepuka na nimekwepa vishawishi vingi hasa kutoka kwa ma ex wangu ambao nimejitahid sana kuwakwepa.

Pia Mimi ni m2 wa safari mara kwa mara na ninajijua navyokuwa safarini ndiko huwa nakutana na vishawishi vingi sana hasa pale napokuwa nafikia katika nyumba za kulala wageni zilzopo karbu na vwanja vya starehe.

Hiv navyoongea jana nimetoka safar lakini nilimkula mdada ( mwanafunzi ) ambye tulkuwa kwenye siti moja baada ya bus kuzuiwa na ikatubidi tulale morogoro.

Sasa hiv roho inaniuma nmemchit mchumba wangu wakat ndyo miez miwili tumeanza kukaa pamoja. Sasa hiyo miaka iliyobaki nitaweza kweli?

Kusema ukweli kwa mchumba wangu hakuna nachokosa. Ni mzur kiasi kuwa hata wanaume wengne wanapomuona huniuliza kama usiku naweza kupita bila kumdonoa. Au naanzaje kupata usingizi kulala na mtoto mzur kma uyo. Ila mm kwangu naona kwaida na bado natamani vya nje.

Kwa wale mliopo kwenye ndoa nishaurini jamani. Huwa mnafanyaje mpaka mnakaa na wake zenu bila kuwacheat.

Mimi hii tabia siipend kuwa nayo, napenda nitulie katika ndoa yangu. Nimheshimu mke wangu kama anavyo niheshimu mimi. Maana najua what goes around comes around. Sasa mi naogopa nisijefanyiwa ivyo pia.
 
Jamani eeenh!sijui kama kuna kitu mmekinote hapo...mahusiano tu yanamiezi miwili alafu mtu anawaza ndoa tena ya kanisani haupo serious,maliza ujana kwanza ila uliyenae usimuache ila endelea kuchepuka mpk utakapoona sasa basi ndio umuoe uyo kama atakuwa na uwo uvumilivu bado.
Mahusiano ni zaid ya mwaka. Miezi miwili ndyo tumeanza kukaa pmoja baada ya mimi kuamua kuachana na ubachelor
 
Ach kumdanganya mwenzako, hapo atamchoka haraka sana mke wake, mimi nabaniwa hata wiki inaweza kupita sipewi mzigo, lakini siwezi kumuacha namuona mpya kila wiki, mzigo ninaomba akitoka hapo anajiuguza siku nne izo tatu ninaomba tena lakini ninapoa pembeni, kwa mchepuko wangu
Yeye atak mchepuko, wew wa zaid wiki bila shaka unamegewa kisela
 
Kwakifupi naona kama bado haujakuwa tayari kuingia kwenye ndoa....
 
Mahusiano ni zaid ya mwaka. Miezi miwili ndyo tumeanza kukaa pmoja baada ya mimi kuamua kuachana na ubachelor
Enhee!sasa apo kwenye kukaa nae ndio pazuri kwa kuchunguzana tabia na kujuana kiundani,chukua muda kwanza hata mwaka mmoja tena ndio uje utangaze nia ya kuoa
 
Yeye atak mchepuko, wew wa zaid wiki bila shaka unamegewa kisela

Mkuu sipo kwenye hiyo position ya kumegewa, niamini, nimekamika na nikimkamata nyege zake zote zinaisha kama binadamu angekuwa na uwezo wa kulala siku tatu mfululizo, asingekaa aamke
 
Enhee!sasa apo kwenye kukaa nae ndio pazuri kwa kuchunguzana tabia na kujuana kiundani,chukua muda kwanza hata mwaka mmoja tena ndio uje utangaze nia ya kuoa
Nimeshatoa na mahari mkuu. Nimefanya ivyo mapema maana mm najijua matatizo yangu ya kumkinai mwanamke mapema. So nmefanya kujicomit mapema kabsa. Ndoa naplan iwe november 2019
 
Back
Top Bottom