Nakaribia Kuoa, Naomba ushauri kwa walio kwenye ndoa: Wewe Unafanyaje ili usitembee nje ya ndoa?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
Habari zenu wakuu. Natumaini wote mpo wazima humu ndani.

Direct to the point:

Nimekuwa katika mahusiano ya kimapenz na wanawake wengi sana kabla ya kuamua officially kuchagua mmoja wa maisha yangu. Hivi sasa naishi na mchumba wangu mwezi wa pili sasa. Mpaka sasa nimeshamtolea mahari na tupo katika process ya kufunga ndoa takatifu.

Ila kuna jambo moja bado linanisumbua kichwa. Najiuliza hivi kweli nitaweza ishi the rest of my life huku ninakula "K" ya mke wangu tu bila kuchepuka?????????

Yan nimekaa naye miez miwili bila kuchepuka na nimekwepa vishawishi vingi hasa kutoka kwa ma ex wangu ambao nimejitahid sana kuwakwepa.

Pia Mimi ni m2 wa safari mara kwa mara na ninajijua navyokuwa safarini ndiko huwa nakutana na vishawishi vingi sana hasa pale napokuwa nafikia katika nyumba za kulala wageni zilzopo karbu na vwanja vya starehe.

Hiv navyoongea jana nimetoka safar lakini nilimkula mdada ( mwanafunzi ) ambye tulkuwa kwenye siti moja baada ya bus kuzuiwa na ikatubidi tulale morogoro.

Sasa hiv roho inaniuma nmemchit mchumba wangu wakat ndyo miez miwili tumeanza kukaa pamoja. Sasa hiyo miaka iliyobaki nitaweza kweli?

Kusema ukweli kwa mchumba wangu hakuna nachokosa. Ni mzur kiasi kuwa hata wanaume wengne wanapomuona huniuliza kama usiku naweza kupita bila kumdonoa. Au naanzaje kupata usingizi kulala na mtoto mzur kma uyo. Ila mm kwangu naona kwaida na bado natamani vya nje.

Pia zile siku anazokuwa yupo MP..5-7 days napataga tabu sana hadi nashindwa kuvumilia nabid nmle ivyo ivyo. Maana nsipofanya ivyo nakuwa nataman kuchepka.


Kwa wale mliopo kwenye ndoa nishaurini jamani. Huwa mnafanyaje mpaka mnakaa na wake zenu bila kuwacheat.

Mimi hii tabia siipend kuwa nayo, napenda nitulie katika ndoa yangu. Nimheshimu mke wangu kama anavyo niheshimu mimi. Maana najua what goes around comes around. Sasa mi naogopa nisijefanyiwa ivyo pia.
 
Kuna vitu ukivianza kuacha ni shida kweli... Ila inawezekana ukitia nia thabiti na kutafuta hobby zingine zichukue nafasi ya hizo tabia unazopambana nazo.
 
Kuna tabia ukiamua kutoka moyoni kuwa utaacha kwa msaada wa Maanani utaweza.Usilegee.Iambie akili yako kuwa kwa sasa umedhamiria kuacha tabia mbaya.
 
Kuchepuka kwa mwanaume ni kawaida tu , oa kwanza kuchepuka huwa kunakuja tu kwenyewe.

Angaliazo: Mwanaume kuchepuka haijalishi kuwa hampendi mke wake.
 
Nina miaka 15 ktk ndoa yangu na ipo imara sana ila kiukweli tabia ya kucheza uwanja wa nyumbani pekee hutaweza mm nimewahi kujaribu nikashindwa ila kuwa makini
 
FB_IMG_1544367422561.jpeg
 
Unaweza wewe usitembee lakini mwenzio akatembea. Haya mambo ya mapenzi hayana formula maalum kama hesabu au fizikia
 
Bro oa wanaume huwa hatuchepuki, sisi ni watu waamnifu sana, hiyo ndio MINDSET unayotakiwa kumjengea mkeo, na maisha marefu na ya furaha milele daima
 
Alfajir kuanzia saa kumi piga vi3 kabla ya kwenda job, ukirud job piga viwili.. utadum nae bila cheating, wikiend asubuh 2, mchana viwili usiku 2 zote hizo mbio ndefu kias 1goal/45min
 
Alfajir kuanzia saa kumi piga vi3 kabla ya kwenda job, ukirud job piga viwili.. utadum nae bila cheating, wikiend asubuh 2, mchana viwili usiku 2 zote hizo mbio ndefu kias 1goal/45min

Ach kumdanganya mwenzako, hapo atamchoka haraka sana mke wake, mimi nabaniwa hata wiki inaweza kupita sipewi mzigo, lakini siwezi kumuacha namuona mpya kila wiki, mzigo ninaomba akitoka hapo anajiuguza siku nne izo tatu ninaomba tena lakini ninapoa pembeni, kwa mchepuko wangu
 
Back
Top Bottom