Nakaribia kuoa lakini Nimepewa zawadi ya "NGOZI" bure nishaurini hapa

We unaigiza tu wala haufikii hata theluthi ya wanaopinga kuhusu uwepo wa Mungu, mfano mzuri ni ktk Biblia kwa Petro aliyekuwa akipinga hadi kuua Watu ss sijui we unafeli wapi kufikia huko Chifu.
Unajua mkuu,hizi imani zilipandikizwa ili tutawaliwe ukisoma kwenye historia;na ili uweze kumtawala binadamu vizuri ni kumpa imani tu;ndio kilichofanyika,kiukweli hazina ukweli wowote zaidi ya kujenga uungwana ingawa zingine pia zinabomoa.
 
Kwa hiyo hata mke mtarajiwa hujawahi kumtafuna??

Very wonderful

Ndio hawa wakifungiswa ndoa wanaparaganyika

Utasikia mke anasema haisimamagi hata ufanyaje, tumeenda kila sehem lakini imeshindikana
 
ha ha ha kinachomfanya mwanaume asi-cheat ni uchumi tu,ila akiwa vizuri kiuchumi,kuiepuka hiyo dhambi ni ngumu
Mbona mimi siko vibaya lakini sihangaiki na ujinga? Kwaio wewe pesa ndio inakwamulia maisha yako mzee
 
1 KOR 6:18-19
20190526_115900.jpeg
 
Kifupi acha mazoea na mtu unayejua huna plan naye zozote for future hata kama anakupa company kiasi gan.Piga chin concerntrate kwenye mambo ya msingi.Ndio formula yangu.
Kuna short term funny moments unaweza ukawa offered kumbe ndio njia ya kukutia kwenye lifetime regrets..
 
Back
Top Bottom