Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

Habari wanajukwaa;

Kama alivyoahidi BUKOBA BOY kwenye maelezo yake yaliyoambatana na video ya LWAKATARE kwamba atakuwa anatupa ushahidi mmoja baada ya mwingine, Amesharusha karatasi aliyokuwa anaitumia Lwakatare kuchukua Note/Summary wakati anatoa maelekezo kwa kijana wake kwenda kuandaa mazingira ya utekaji.

Inayoonekana juu kulia kwenye karatasi ni namba ya MSACKY, Mwandishi wa habari wa mwananchi ambaye ni target mojawapo katika kutekwa. Wale waliosema kwamba ile video ni ya uongo wajiridhishe sasa kwamba BUKOBA BOY ana full data na amejiimarisha.

Wakubali sasa kwamba huu ni mwandiko wa LWAKATARE NA HAYO NI BAADHI YA MANENO ALIYOYATAMKA KWENYE VIDEO YAKE.

Zaidi unaweza kutembelea youtube japo haionekani vizuri.. NAOMBA MODS WAIKUZE HAPA JF ILI WASOMAJI WASIPATE SHIDA. KARATASI YENYEWE HII HAPA CHINI

attachment.php

Wakuu kuwekwa kwa haya maandishi hapa ni Uthibitisho tosha kwamba hii inshu ni famba..Kwa nini?

1. Katika maelezo ya Lwakatare anaanza kwa kusema "Nilitaka kujua specifically gari anayotumia...sikia bwana...gari analotumia(hapa anaonekana akiandika sawa) Kwenda mbali zaidi kujua namba" Hapo kwenye bold kuna ujinga wa kimagamba..anamweleza jamaa wanapaswa kufanya juhudi kujua gari anayotumia na wasiishie hapo waendelee zaidi na kujua namba yake! Sasa kwa maelezo haya Lwakatare anajua namba ya mlengwa haijui? Kama haijui inaonekana vipi kuandikwa katika haya maelezo tunayoelezwa kaandika Lwakatare? Lwakatare haonekani kabisa kuandika hii namba.. Pia Great thinkers wenzangu sikilizeni hii video kwa makini,mkiwa sambamba na kutazama haya maandishi mtagundua kuna sehemu Lwakatare anaonekana kuandika maneno ambayo kwenye karatasi hii hayapo..Hivi upuuzi hii CCM mmeandaliwa na hawa madogo waliopata division zero?
 
"wala Usimshuhudie jirani yako uongo " - kumbukumbu la torati 5:20

Sent using wireless by wire
 
Mmmmmh....Lwakatare,Nape,Riz and muongo siasa bhaana.....N mbel kwa nyuma kama cocacola zero(not sugar)cielew 1tu2
 
wewe ambaye huguswi na matukio mabaya kwa sababu una roho ya kunguni lakini watz wengi wanapenda amani.mbaya lazima asakwe bila kujali yuko chama gani
Acha upimbi wewe yule "mkenya" wa kova kaishia wapi?
 
Hii karatasi nayo imefojiwa. Inanikumbusha zama zile wanafunzi sekondari walikuwa wanagushi ticket ili turudishiwe pesa. Walikuwa watumia mafuta ya break kufuta maandishi ya wino na kisha kujiandikia nauli waipendayo. Walikuwa wanasubmit kwa Burser na wanachukua mshiko.

Mfano mzuri sentensi " Kama anamilki silaha esp. pistol- Maneno kama na anamiliki siyo original" Kama limevurugwa ili lilete maana aliyoikusudia aliyeweka bandiko hili.

Katika sentensi hii "Anakunywa kiinywaji gani?" - Anakunywa - siyo original - angalia herufi "k" imechanganywa na "e" kiaina. Halafu hata neno " Kiinywaji" siyo original ndiyo maana lina "i" mbili badala ya moja. Juu ya neno "ji" kuna doti tatu, zinazoshiria herufi original zilikuwa na doti 3. Vilevile hata "ni" kwenye neno gani siyo original.

"Nyumba ndogo"- nyumba limefojiwa; Malaya nalo limefojiwa

Mikono iliyoandika karatsi hii ni miwili, ndiyo maana hakuna mfanano wa mwandiko kwa herufi zinazofanana.

Anyway polisi wetu wanaweza kuitumia karatasi kwa vile hawataki kuhangaika ku-investigate.
 
Hemu wana-JF haswa wapenzi wa CHADEMA tufike wakati wa kuacha kupelekeshwa na jazba ya kuichukia CCM, mapenzi yaliyokithiri kwa CHADEMA (haswa wafata upepo) na tusimamie UKWELI.

Ukweli ni upi? kama video ni feki(kwa maana picha ni ya Lwakatare lakini sauti sio yake) kwa kudai ni ya kutengenezwa, basi lazima kuna mahali video ya Lwakatale halisi itakuwepo (kwa maana video inayoonyesha picha yake na sauti yake), kama itakuwepo, basi sidhani kama kuna walakini kwenye hili jambo na ataachiwa huru, ILA KAMA HAIPO, LWAKATALE+CHADEMA TENA BASI.

Kingine, wanaweza vilevile kulinganisha maandishi ya maelezo kwenye hiyo karatasi na ya LWAKATALE kwenye makala zake nyingine zilizo andaliwa kwa mkono wake, zikifanana, LWAKATARE TENA BASI, itakua bye bye ya CHADEMA.
 
Mugo"The Great";5924581 said:
Hii karatasi nayo imefojiwa. Inanikumbusha zama zile wanafunzi sekondari walikuwa wanagushi ticket ili turudishiwe pesa. Walikuwa watumia mafuta ya break kufuta maandishi ya wino na kisha kujiandikia nauli waipendayo. Walikuwa wanasubmit kwa Burser na wanachukua mshiko.

Mfano mzuri sentensi " Kama anamilki silaha esp. pistol- Maneno kama na anamiliki siyo original" Kama limevurugwa ili lilete maana aliyoikusudia aliyeweka bandiko hili.

Katika sentensi hii "Anakunywa kiinywaji gani?" - Anakunywa - siyo original - angalia herufi "k" imechanganywa na "e" kiaina. Halafu hata neno " Kiinywaji" siyo original ndiyo maana lina "i" mbili badala ya moja. Juu ya neno "ji" kuna doti tatu, zinazoshiria herufi original zilikuwa na doti 3. Vilevile hata "ni" kwenye neno gani siyo original.

"Nyumba ndogo"- nyumba limefojiwa; Malaya nalo limefojiwa

Mikono iliyoandika karatsi hii ni miwili, ndiyo maana hakuna mfanano wa mwandiko kwa herufi zinazofanana.

Anyway polisi wetu wanaweza kuitumia karatasi kwa vile hawataki kuhangaika ku-investigate.
Kuua hapo nakubalina na wewe, hata Kama ni muda ndio wake bado Hiyo karatasi itakua imechezewa...Anglia "a" zake na kuna dots nyingi sana kwenye karatasi bila maneno!
 
Wakuu kuwekwa kwa haya maandishi hapa ni Uthibitisho tosha kwamba hii inshu ni famba..Kwa nini?

1. Katika maelezo ya Lwakatare anaanza kwa kusema "Nilitaka kujua specifically gari anayotumia...sikia bwana...gari analotumia(hapa anaonekana akiandika sawa) Kwenda mbali zaidi kujua namba" Hapo kwenye bold kuna ujinga wa kimagamba..anamweleza jamaa wanapaswa kufanya juhudi kujua gari anayotumia na wasiishie hapo waendelee zaidi na kujua namba yake! Sasa kwa maelezo haya Lwakatare anajua namba ya mlengwa haijui? Kama haijui inaonekana vipi kuandikwa katika haya maelezo tunayoelezwa kaandika Lwakatare? Lwakatare haonekani kabisa kuandika hii namba.. Pia Great thinkers wenzangu sikilizeni hii video kwa makini,mkiwa sambamba na kutazama haya maandishi mtagundua kuna sehemu Lwakatare anaonekana kuandika maneno ambayo kwenye karatasi hii hayapo..Hivi upuuzi hii CCM mmeandaliwa na hawa madogo waliopata division zero?

Hahaaaa.. kweli daima uongo hujitenga, walidhani kwa kuleta hicho kijikaratasi watakuwa wamenogeshea ushahidi kumbe ndo kwanza wanazidi kuonyesha jinsi walivo tunga mkasa wenyewe!
Ee Mungu zidi kuwapumbaza wazidi kuijidhihirisha uovu wao!
 
Binafsi nina maswali mengi sana kuhusu hii scenario ya Lwakatare na madai yanayoambatana nayo.
Maswali niliyonayo ni kama ifuatavyo;

Je hii recording ilifanyika Lwakatare akijua au lah?
Je aliyemrekod alikua na nia gani? Ku publicize alichokuwa anaongea Lwakatare au hii imetokea unplanned?
Na je kijana aliyekuwa anafanya mipango na Lwakatare yakudhuru kama inavyodaiwa alikuwa na nia kweli yakufanya kazi na Lwakatare ktk kukamilisha hiyo mipango au alipretend ili kumtega Lwakatare? Na je kama alikuwa ameandaliwa kumnasa Lwakatare kwa maneno yake nani yuko nyuma ya hii plan?

Mimi kwa mtazamo wangu mdogo napata picha kamili kuwa hii ni planned scenario. Either Lwakatare anaweza kuhusika consciously au unconsciously ktk kufanikisha hili.
Mimi na CDM mimi na Tz yangu mbele twasonga! Hadi tuuone ukombozi wa kweli kwa Watz!
 
Tutajuaje kama huo mwandiko ni mwa Lwakatare na siyo wa Riz au Mwingulu na kundi lake

hiyo ni kazi ndogo sana, kama kuna mtu mwenye muandiko wa mhusika aweke hapa, nasi tutaweza kuichunguza haina haja ya polisi wa cid
 
Wakuu kuwekwa kwa haya maandishi hapa ni Uthibitisho tosha kwamba hii inshu ni famba..Kwa nini?

1. Katika maelezo ya Lwakatare anaanza kwa kusema "Nilitaka kujua specifically gari anayotumia...sikia bwana...gari analotumia(hapa anaonekana akiandika sawa) Kwenda mbali zaidi kujua namba" Hapo kwenye bold kuna ujinga wa kimagamba..anamweleza jamaa wanapaswa kufanya juhudi kujua gari anayotumia na wasiishie hapo waendelee zaidi na kujua namba yake! Sasa kwa maelezo haya Lwakatare anajua namba ya mlengwa haijui? Kama haijui inaonekana vipi kuandikwa katika haya maelezo tunayoelezwa kaandika Lwakatare? Lwakatare haonekani kabisa kuandika hii namba.. Pia Great thinkers wenzangu sikilizeni hii video kwa makini,mkiwa sambamba na kutazama haya maandishi mtagundua kuna sehemu Lwakatare anaonekana kuandika maneno ambayo kwenye karatasi hii hayapo..Hivi upuuzi hii CCM mmeandaliwa na hawa madogo waliopata division zero?

Hii karatasi imeandikwa tu yale yanayotamkwa. Japo, kwenye Video inaonyesha "Lwakatare" anaandika vitu vingi zaidi... ambavyo anakuwa havitamki...
 
Wapuuzi sn hao magamba CHADEMA inawaumiza sn vichwa ndo maana mnahaha kama mmechanganyikiwa hamtabadilisha misimamo ya watu wenye akili,hekima na busara zao hatujahongwa kofia,vitenge wala tshirt kuwa CHADEMA
 
wewe ambaye huguswi na matukio mabaya kwa sababu una roho ya kunguni lakini watz wengi wanapenda amani.mbaya lazima asakwe bila kujali yuko chama gani
Wewe ndiye FISI unayetaka kutuaminisha uchafu mnaofanya. Mpuuzi kweli kweli! hatuhitaji kujengewa mazingira ya kishetani namna hii. Unaua ili fulani ahisiwe!! kwa hili naomba ban!!
 
Habari wanajukwaa;

Kama alivyoahidi BUKOBA BOY kwenye maelezo yake yaliyoambatana na video ya LWAKATARE kwamba atakuwa anatupa ushahidi mmoja baada ya mwingine, Amesharusha karatasi aliyokuwa anaitumia Lwakatare kuchukua Note/Summary wakati anatoa maelekezo kwa kijana wake kwenda kuandaa mazingira ya utekaji.

Inayoonekana juu kulia kwenye karatasi ni namba ya MSACKY, Mwandishi wa habari wa mwananchi ambaye ni target mojawapo katika kutekwa. Wale waliosema kwamba ile video ni ya uongo wajiridhishe sasa kwamba BUKOBA BOY ana full data na amejiimarisha.

Wakubali sasa kwamba huu ni mwandiko wa LWAKATARE NA HAYO NI BAADHI YA MANENO ALIYOYATAMKA KWENYE VIDEO YAKE.

Zaidi unaweza kutembelea youtube japo haionekani vizuri.. NAOMBA MODS WAIKUZE HAPA JF ILI WASOMAJI WASIPATE SHIDA. KARATASI YENYEWE HII HAPA CHINI

attachment.php

Bold red, hivi Lwakatare ni mjinga kiasi gani hadi aache mezani karatasi yenye maandishi yenye maelekezo nyeti namna hii? Pia ebu jaribu kufuatilia clip hii wakati inaanza, mtu mmoja anasema mike mike alafu Lwakatare anaonyesha kushangaa kwa kusema mh!, alafu jamaa anasema hapo Lwakatare anasema eeh, pia hapo kuna utata kwa jinsi anavyojibu utaona kuwa kuna utata.

Kitu kingine kinacholeta utata ni pale jamaa anaposema mike alafu Lwakatare akaonyesha kushangaa kwa kusema mh, inamaana Lwakatare hakuwa anajua kinachoendelea, kama sauti ni ndogo au anasikika sasa inashangaza jamaa anasema mike Lwakatare anashangaa jamaa anauliza tena hapo Lwakatare anasema eeh, lakini ukiangalia vizuri utagundua kuwa Lwakatare hakuwa anamjibu anajibu kuhusu maiki kama clip inavyoonyesha.

Kitu kingine kinacholeta utata, watu wengine wanasema hii clip imerekodiwa na hidden camera ok sawa mgoja nikubaliane na mawazo yao, lakini swali linakuja hivi je, audio imerekodiwa na nini hidden device? hapana ni live recording mpaka wanaulizana kurekebisha mike.

Swali la kujiuliza huyu jamaa aliyekuwa analalamika kuhusu maiki ilikuwa ni kwa ajili ya sauti haisikiki kwenye spika au ilikuwa ni sauti inakuwa ndogo kwenye recording device ambapo labda alikuwa hapati waves za kutosha sauti kusikika vizuri.

Kama sauti ilikuwa haisikiki vizuri kwenye recording device ilikuwaje amwambie Lwakatare maiki alafu baadaye aulize ''hapo'' Lwakatare aseme eeh wakati hakuwa anaona kinachoendele kwa yule aliyekuwa anarecord.

Kama walikuwa wanatumia spika ilikuwaje watumie spika wakati inaonyesha walikuwa watu wachache ambao angeweza kuongea nao bila spika wakasikia, pia ilikuwaje watumie spika wakati wanaongele vitu vya siri namna hii? Alafu ilikuwaje yule msikilizaji aseme maiki, alafu baadaye yeye huyo huyo aulize tena "hapo", kwa wataalamu au sound engineer wanajua kawaida msikilizaji huwa analalamika maiki alafu baada ya fundi mitambo kurekebisha mwongeaji anauliza "hapo" wasikilizaji wanajibu ndiyo au hapana, kitu ambacho ni tofauti kwenye clip hii, maana mtu analalamika kuhusu maiki alafu yule yule ndiye anauliza tena "hapo" mwongeaji anajibu eeh badala mwongeaji aulize msikilizaji aseme eeh. (Haya nayo ni mapungufu kwenye mkanda huu).

Na kama kweli walifanya recording ya audio inamaana Lwakatare ni mjinga kiasi cha kukubali arekodiwe wakati anapanga maswala ya kuteka na kudhuru watu?

Haya yote ni mambo ya kujiuliza.

Hitimisho: Nawaomba Chadema ikiwezekana pia nao wafanye uchunguzi wao binafsi ili wawape wanachama wao na Watanzania kwa ujumla majibu ya kuridhisha, maana naona wengi wameanza kuchanganyikiwa.
 
ukitaka kumkamata mjinga angalia katika matendo na mazungumzo yake ndio utajua huyu ni kilazi au la ccm hakika sera zenu zimepoteza mvuto sikutegemea chama chenye dola mje na ujinga kama huu mbele ya jamii
 
Back
Top Bottom