Kalam mpya
Member
- Mar 30, 2017
- 84
- 76
Mahakimu walio wengi wa Mahakama za mwanzo huwa wagum kutoa nakala za hukumu na mwenendo wa kesi kwa sababu gani?
Katika hali ya kawaida kama hakimu ametenda haki kwa pande zote mbili hakutakua na ubishi wa kutoa nakala za hukum na mwenendo wa kesi.
Mahakama za mwanzo hasa za vijijini, zimekua na tabia hiyo, ambayo imekuwa ikikwamisha juhudi za Mh Rais Doctor John Pombe Magufuli katika kutaka mahakama zote nchini zitende haki bila kumuonea haya mtu.
Watanzani ni wengi sana wanaimani na Rais doctor John Pombe Maguful lakin watendaji hawa wanafifisha juhudi za Mh Rais.
Ndugu Zangu Lisemwalo lipo na mfano upo wakati ukifika nitatoa hadharani.