Nakala gazeti Mwananchi zimeisha mtaani

mbona bado yapo mkuu au mtaani kwako ndo yameisha una generalize watanzania lini wameanza utamaduni wa kusoma?
 
mbona bado yapo mkuu au mtaani kwako ndo yameisha una generalize watanzania lini wameanza utamaduni wa kusoma?
ndugu nimepita kwa wauzaji kama kumi huku mbezi hakuna gazeti. Na watanzania wanabadilika ndugu
 
hiyo rasimu ni sarakasi nyingine tu za wajanja kupiga bingo..wadanyika can't cease to amaze me/
 
Ipo kwenye hilo gazeti pekee? Na kwanini kama si ufisadi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jaman tuache fitina, mwananchi linajitaid sana, uchambuz wa wahariri upo kizalendo sana
 
Ipo kwenye hilo gazeti pekee? Na kwanini kama si ufisadi?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

gazeti la mwananchi linapendwa na wachuuzi wa samaki na vitumbua ndo maana huisha haraka. kama ni rasimu ya katiba mbona inapatikana online!
?
 
Mbona nilipo mimi nayaona tena ndo yako mengi kuliko hata mengine yameisha labda kwenye kata yako
 
yaelekea mtaani kwko ndo yameisha bhana mbona huku kwetu yako mengi tu na wala watu hawayashobokei kabisa ndo wanapita na kununua tu ya udaku pekee wewe uliona wapi watanzania wakapenda kusoma zaidi ya kukodolea udaku tu, wewe majanga nini
Rasimu ya katiba limemaliza gazeti mwananchi mtaani. Safi sana tido mhando
 
gazeti la mwananchi linapendwa na wachuuzi wa samaki na vitumbua ndo maana huisha haraka. kama ni rasimu ya katiba mbona inapatikana online!
?
ndo maana kuna softcopy na hardcopy
 
Only in Tanzania
Mtu anapongezwaa kufanya kazi yake
hilo ndo tatzo la kutokufuatilia mambo, david cameron alimpongeza queen elizabeth kufanya kaz yake, mitt romney alimpongeza obama kuanzisha health care inayoitwa obama care
 
Jaman tuache fitina, mwananchi linajitaid sana, uchambuz wa wahariri upo kizalendo sana

sawa, lakini mi nipo huku karume,yapo mengi sana tena ndiyo mengi kuliko magazeti mengine. Magazeti ya udaku ndiyo yanatangulia kuisha.
 
Kubali kutokubaliana

Hilo ndio tatizo lako pia, wote ulitaka tione kwa jicho lako?

hilo ndo tatzo la kutokufuatilia mambo, david cameron alimpongeza queen elizabeth kufanya kaz yake, mitt romney alimpongeza obama kuanzisha health care inayoitwa obama care
 
Back
Top Bottom