Elections 2010 Nakaaya ana hali gani?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,720
Najaribu kuwaza Nakaaya Sumari atakuwa na hali gani kwa sasa, hasa baada ya kuanza kushuhudia kwa macho yake maana halisi ya Peoples Power, nakushuhudia mabesti zake almost wote aliowatelekeza wakiingia mjengoni!!
Si hivyo tu, lakini pia anavyoshuhudia baba yake Jeremiah Sumari akipelekwa puta na kijana mdogo wa miaka 24 mwanafunzi wa chuo kikuu huko Arumeru Magharibi.
Namhurumia sana huyu dada masikini jamani...tujaribu kuwasiliana naye, labda atakuwa anahitaji TOBA!
 
Najaribu kuwaza Nakaaya Sumari atakuwa na hali gani kwa sasa, hasa baada ya kuanza kushuhudia kwa macho yake maana halisi ya Peoples Power, nakushuhudia mabesti zake almost wote wakiingia mjengoni!!

ahaaaaaaaaaaaaa
 
I am inclined to spk the word b***c, enywayz ameandika historia, historia huwa siku zote ina watu kama hawa!
 
dada yetu alidanganywa na mkwere she didnt know the meaning of peoples power when comes to changes te te te te te teh kwani mkwere alikuonga sh ngpi dada?
 
Huyu nae Kigeugeu kama kinyonga ...wala hatuna muda nae tena aende zake
 
Mkuu PJ
unajua kitu kinachowashobokeza mabinti wasiofundwa vyema ni MPINI.
sasa ameona matokeo yanavyompelekesha puta buzi lake.

USALITI ni jambo baya sana

ameshapoteza nafasi yake kwenye jamii, maana hamna mtu anamsikiliza huyu mtu kigeugeu anayefanya tofauti na anachosema.
 
uuuuuuuuuuh,Mrs politician atakuwa hoi now huko A-town,nimefurahishwa sana na diwani aliyeshinda wa chadema pale arusha ambaye ni rasta man.
 
Hiyo ndo dawa ya wasanii Njaa. Igeni mfano wa Sugu ameanza kuikomboa nchi kwa kuimba na sasa anatinga bungeni. mkome kwa njaa zenu hizo na hatununui tena CD zenu tumeishawajua
 
Mkuu PJ
unajua kitu kinachowashobokeza mabinti wasiofundwa vyema ni MPINI.
sasa ameona matokeo yanavyompelekesha puta buzi lake.

USALITI ni jambo baya sana

Na mshahara wa dhambi ni mauti!
Anauona moto hapahapa duniani huyu msaliti!
Amepoteza nguvu ya sauti bure kuwaimbia mafisadi!...(sijui vingine alivyopoteza)
All in all ni masikitiko!
 
Najaribu kuwaza Nakaaya Sumari atakuwa na hali gani kwa sasa, hasa baada ya kuanza kushuhudia kwa macho yake maana halisi ya Peoples Power, nakushuhudia mabesti zake almost wote aliowatelekeza wakiingia mjengoni!!
Si hivyo tu, lakini pia anavyoshuhudia baba yake Jeremiah Sumari akipelekwa puta na kijana mdogo wa miaka 24 mwanafunzi wa chuo kikuu huko Arumeru Magharibi.
Namhurumia sana huyu dada masikini jamani...tujaribu kuwasiliana naye, labda atakuwa anahitaji TOBA!

mkataa pema pabaya panamwitaaa!!! amemshinda kuku aweza kumla chaaza
 
Huyu ugua pole zilimponza sana akasahau Utaifa ngoja aumie kwanza
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom