Nakaaga kwenye kakibanda kangu kapo kuu ya Dar-moshi, mwaka huu chaga wamebadili njia ya moshi?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,457
wachaga wanatumia njia gani kwenda MOSHI?
tofauti na miaka ya nyuma siku kama hizi wanatiririka tu njiani sasa adi Leo mwaka huu sijawaona wamebadili njia au?
 
IMG_20161220_171908.JPG

Hata uwapige marungu lazima wakahesabiwe
 
wachaga wanatumia njia gani kwenda MOSHI?
tofauti na miaka ya nyuma siku kama hizi wanatiririka tu njiani sasa adi Leo mwaka huu sijawaona wamebadili njia au?
Nenda KLM utawakuta. its very very tantalizing.
 
Muende tu mkahesabiwe ila nasikiaa hamna helaaa natumain walioweng watakuwa wanarud dar mpaka wauze mbuz
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom