Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hujala nauli kweli?Tunaenda
Inakuwaje unakosea title ya uzi?.........au upo macho barabarani kuhesabu wapita njia?Wako bize na kumpeti cEO wao kala maharage na ugali wiki etiii, na kulala saa tisa
Bado ninayoWe hujala nauli kweli?
Jambo jema.......Nimeikumbuka mbege, kuna sehemu moja karibu na Kibosho hospital tulikunywa mbege.Bado ninayo
Nenda KLM utawakuta. its very very tantalizing.wachaga wanatumia njia gani kwenda MOSHI?
tofauti na miaka ya nyuma siku kama hizi wanatiririka tu njiani sasa adi Leo mwaka huu sijawaona wamebadili njia au?
Karibu tena mkuuJambo jema.......Nimeikumbuka mbege, kuna sehemu moja karibu na Kibosho hospital tulikunywa mbege.
Ilikuwa ni nzuri hatari.....Hadi leo huwa napakumbuka sana.
Jirani yangu kaenda tarehe 14 karudi dar tarehe 17 dec, eti hali ya kiucumi mbayaMuende tu mkahesabiwe ila nasikiaa hamna helaaa natumain walioweng watakuwa wanarud dar mpaka wauze mbuz