Nakaa nao Ukonga, ni jirani yangu yupi hapa kaharibu picha ?

Hayupo hata mmoja anaekaa huko UKURYANI kwa mnaokeketa awe mrembo hivo, maana wanawake wanaokaa ukonga ni wafagiaji wa mabanda ya kuku, walima mchicha mto mzinga au mpunga, wachunga mbusi, weusi kama lami, miguu imepasuka magaga na akikugusa na mkono ni sawa na umeguswa na ubao ambao haujarandwa.
 
Bado ni waschana chini ya miaka 25, wote ni warembo wana rangi au ngozi nzuri, kama ni asilia basi ni warembo kweli ila kama rangi imesaidiwa na make up au cream.... wakifika miaka 35 na kuendelea watazeeka.

Ila kama wako kiasilia na wataendelea kuishi hivo basi watazeeka na uzuri wao.

Wakiishi vizuri kwenye huu uschana wao hata wasipoolewa hawatajutia uzeeni.

I love their smiles....
kuishi vizuri unaamisha ni kuto gegedwa?
 
31318081_781982188653852_548173522166349824_n.jpg


img_20170803_144811_114-jpg.707239
WANAUME WA DAR BWANA, SASA HUO MUDA WA KUPIGA PICHA UMEUPATA WAPI KWA SURA ADIMU KAMA HIZI....
 
Back
Top Bottom