Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,484
- 5,142
dhambi iliyoifanya itamghalimu miaka na miaka.
Tutakutana 2015 jimboni kwake....mpeni salamu
dhambi iliyoifanya itamghalimu miaka na miaka.
Kutokana na uamuzi wa sugu kufikia muafaka na LUGE kumeleta utata mkubwa sana wa sintofaham juu ya hatma ya VINEGA na kusababisha mvulugano.
Mnamo mida ya saa 3 usiku kwenye ofis ya MAPACHA iliyopo MWENGE msikitin palifanyika kikao cha zarula cha VINEGA juu ya uamuzi wa sugu kuna walio pinga na wengine waliunga mkono matokeo yake majibishano makali ya maneno yaliyokuwa na vitisho yalitawala hali iliyopelekea kukwidana mashati na kutaka kutandikana makonde.
Vinega nilio bahatika kuwaona ni DOTO,MKOLONI,KULWA,JAMES.
Kikao hicho kiliisha kwa style hiyo ambapo mkolon aliingia kwenye gari la sugu na kutokomea kwa kasi ya ajabu.Ila sugu yey hakuwepo.
yaani mnajifanya hamjui mtoa hoja anasema nini?
nyie chekeni na wanasiasa!!!
sio kweli. Ungekua shabiki usingechukizwa na mafanikio yake. Ungemuunga mkono pale anapo timiza malengo yake.
Niukweli usio fichika kuwa wana wa mbeya tulimchagua Sugu kuwa Mbunge wetu sio kwa kutokana na Elimu yake au umaarufu wake bali km mtu aliye onekana jasiri na mpigania haki za wanambeya na Wasanii kwa ujumra lakini leo ametusariti na ametutukana na kutuona hatuna maana mpaka akamua kuingia mikataba ya kizushi na mafisadi wa huu mziki.....
Sugu alikili kuwa deal la malaria ameibiwa leo hii anasaini mkataba na wezi kisheria huo mkataba ni nuel and void, abi initial! lakini yeye amejifanya hajui.......Amesahau tulivyo nyeshewa na Mvua pale sokoine kusuhbili show yake aliyo tuahidi itabigwa saa nane mchana lakini ilipigwa 4 usiku wala hatukujari kuroana! leo hii amesahau hili, na kutuacha njia panda.......
Sugu Sugu Sugu Mbunge wangu toka Soko Matola nakwambia 2015 sio mbali mitaaa ya mbea itatoa hukumu dhidi yako coz mitaa Imenuna..je baada ya hapo Ruge atakueshimu tena au ndo utakuwa lile taulo la akina dada likisha tumika?? Soma alama za Nyakati Sugu. Wako mpika kura Dconscious.
sio kweli. Ungekua shabiki usingechukizwa na mafanikio yake. Ungemuunga mkono pale anapo timiza malengo yake.
sio kweli. Ungekua shabiki usingechukizwa na mafanikio yake. Ungemuunga mkono pale anapo timiza malengo yake.
Wewe lazima utakuwa ni miongoni mwa wale form four waliomaliza mwaka huu. Na sijui kwanini lakini nashindwa kuilazimisha akili yangu isiamini kuwa umesoma AL-FARUQ SEMINARY.
Jitahidini kuogelea na mbele namwona mamba ameachama kinywa chake tayari kwa malisho,nguvu zimewaishia na sioni hata wakuwabackup!!!Teh teh teh,tih tih tih!!tulikuwa nae safari moja,
sugu keshatutosa, sasa inakuwaje hapa.