Najutia kuishi Tanzania

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Kauli hii alisikika mlevi mmoja akiropoka kua anajutia sana kuishi Tanzania.Lakini sikumpuuzia,nikamuuliza kwa nini?Akasema,alikua anapata milo mitatu,sasa ni mmoja,alikua anapata bia,lakini sasa pombe za kienyeji,umeme taabu,nauli taabu,kila kitu anachonunua hamna made in Tanzania,,foleni taabu sana,Leo asubui ameamka pombe zimemwisha anaomba ashauriwe ili afute kaul yake.
 
Huko alikokuwa alipata made in Tanzania?
 
Hivi mtu anapoiacha nchi yake, nyumba yake, shamba lake n.k anajiuliza kwamba anamwachia nani? Maana ikiwa in chako ni wajibu kukiweka katika utaratibu unaolingana na matarajio yako. Kama ni nchi yenye neema basi Tanzania inaongoza. Tusiwe wa kukimbia tutumie nafasi na uwezo wetu kuifanya nchi hii iwe mahali pazuri. Sitamuunga mkono mtu anaye susia vitu muhimu kwake kwa sababu yeyote iwayo. Tubanane kwa malengo ya Pamoja hapa hapa hakika "kitaeleweka tu".
 
Tuanzie kwenye posho sio!!!!
 
ili ukipende kitu ni lazima ukifahamu/ukielewe. Ninaanza kuwa na wasiwasi wa jinsi tulivyoeleweshwa kuhusu nchi yetu! It seem we were tought wrong history of this wonderful country. Matokeo yake angalia wote waliosoma baada ya uhuru wanatumia elimu yao kwa kadri wawezavyo kuibomoa nchi badala ya kujenga. Hii ni changamoto kubwa mno
Hivi mtu anapoiacha nchi yake, nyumba yake, shamba lake n.k anajiuliza kwamba anamwachia nani? Maana ikiwa in chako ni wajibu kukiweka katika utaratibu unaolingana na matarajio yako. Kama ni nchi yenye neema basi Tanzania inaongoza. Tusiwe wa kukimbia tutumie nafasi na uwezo wetu kuifanya nchi hii iwe mahali pazuri. Sitamuunga mkono mtu anaye susia vitu muhimu kwake kwa sababu yeyote iwayo. Tubanane kwa malengo ya Pamoja hapa hapa hakika "kitaeleweka tu".
 
Tuanzie kwenye posho sio!!!!
Umenifanya nifikiri zaidi....Hivi kumbe hata POSHO kuna 'walioiacha" eeh lakini jibu si wanawaachia wananchi wenzao wanunulie dawa? Jigsaw unaikimbia nchi kuwaachia wakina nani???? Je utakimbia na ndugu,jamaa na marafiki zako wote? Hilo ndilo ninalolisimamia...
 
Mi namshauri aache MAJI TAKA KABISA then aungane na wananch wanaohtaji mabadiliko km mimi na kwa pamoja tutaikomboa TZ iliyojaa kila aina ya baraka tk kwa MWENYEZ MUNGU ila walafi wachache sn ndo wanatufanya tuishi kifukara klk karbu nch zote duniani, LAZIMA TUIKOMBOE TANZANIA BWANA
 
subutuuu labada vilaza magamba wasiwepo madarakani la si la si hivyo
tutaendelea kutaabika mpaka mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom