Najuta kwakweli najuta, nimegundua ana ugonjwa wa Ini

Kijana you should rethink why everybody is attacking you insteady ya kushauriwa positively? Ulifanya jambo la kipuuzi sana tangia mapema.
Kama kweli wewe ni wakuhitaji ushauri ungekuja hapa kuomba ushauri wakati ulipomtongoza alafu akakwambia yeye ni muathirika. Ila kwasababu maji yameshamwagika basi huna jinsi zaidi ya kuachana nae. But keep in mind that you're going to break her heart, she trusted you kwa ung'ang'anizi wako, leo hii unaenda kumdump baada ya kugundua anaumwa..... It's so sad
 
umejizilaaaa wewe yan ushapewa tarifa ila badooo upo hilo hilo eneo bas sawaa mapenzi mubashara
 
D
Ndugu nimefuatilia hiyo chanjo lakini nimeona usumbufu kwani hospital zetu mizunguko mingi mno wananizungusha tu
ogo ugonjwa wa INI hauambukizi kwa denda
na kwavile umegundua hana UKIMWI ni bora UMUOE mapema kabla wenzako hawajaja kuzaa nae na kumuoa
 
Back
Top Bottom