Najuta kuwaunganisha WAZAMBIA-BANDA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Rais aliyebwagwa bwana Banda amesema huenda sababu za yeye kushindwa moja wapo ni kuwaunganisha WAZAMBIA na kuwa kitu kimoja,amesema hii ndio sababu ambayo hasa anahisi imemnyima USHINDI
SOSI:BBC
 
Jambo la kujifunza hapa ni kwamba huyu rais mteule bwana SATA ameshagombea MARA 4
na je kulia kwa banda kuliashiria nini????
 
Wasifu mwingine wa SATA,alikua na tabia ya kushirikiana sana na raia,ilikua si jambo la ajabu ukimkuta SATA anajenga DARAJA kwa kushirikiana na wakandarasi,,,,,,,
 
Hongereni sana wa Zambia kwa kufanya maamuzi magumu. sisi tutafuatia 2015 kwa kumtoa magamba huyu nyoka mwenye sumu kali anayeitwa CCM
 
Rais aliyebwagwa bwana Banda amesema huenda sababu za yeye kushindwa moja wapo ni kuwaunganisha WAZAMBIA na kuwa kitu kimoja,amesema hii ndio sababu ambayo hasa anahisi imemnyima USHINDI
SOSI:BBC
divide and rule ! Angali siasa za Kenya kila mtu ana mtaji wa kabila lake!
 
Historia inazidi kuandikwa Zambia baada ya kupata Rais Mkata Mkonge, ndugu Chiluba (R.I.P) toka kule Tanga sasa wamempata Rais aliyekuwa Mfagizi wa Stesheni ya Victoria kule London, Uingereza. Hii ni habari nzuri sana kwa wapiga box wote wa Bongo.
 
Back
Top Bottom