Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

Nimeoa miaka nane iliyopita na nimepata watoto watatu. Ila sasa naona kama nilikosea kuchagua sababu huyu mke wangu tulianza mahusiano tukiwa shule tukaenda hadi Chuo kikuu pamoja.

Sasa naona wanawake wengine wazuri na wanaojipenda zaidi yake na nikiangalia yeye alivyo hajipodoi podoi yupo yupo tu na hana sexy body yaani havutii kabisa mpaka saa nyingine najisikia aibu.

Yaani nashindwa kujua nifanyeje kumwacha namwonea huruma sana.
Ebu eleza vizuri unaweza pata mume.mwemza hapa JF.
 
Nimeoa miaka nane iliyopita na nimepata watoto watatu. Ila sasa naona kama nilikosea kuchagua sababu huyu mke wangu tulianza mahusiano tukiwa shule tukaenda hadi Chuo kikuu pamoja.

Sasa naona wanawake wengine wazuri na wanaojipenda zaidi yake na nikiangalia yeye alivyo hajipodoi podoi yupo yupo tu na hana sexy body yaani havutii kabisa mpaka saa nyingine najisikia aibu.

Yaani nashindwa kujua nifanyeje kumwacha namwonea huruma sana.
Watu mna roho ngumu
 
Hiyo ndio inaitwa mpaka kifo kitakapowatenganisha!! Mpe hela ya saluni na wigs za Lulu's hair uone atakavyong'aa hadi utamani kumuona tena!
Mwanamke matunzo babu weeeeee!!
 
Mkuu apo uliposema “ unamuonea huruma” kazia hapo hapo maana ukimuonea huruma mtu huwezi fanya baya kwake kama kapoteza mvuto jitahidi walau kumfanya awe unavyopenda uzuri nao unanunuliwa madukani wala usiwe na hofu wenzio tunatafuta walau huyo wa hivyo mwenye uwezo ata wa kukaa na watoto na kutuheshimu hatupati tulio nao ndo hap pasua kichwa

Sure mkeo ni mke bora sana kama udhaifu alionao ni ushamba....ushamba ndo tunu mjini hapa asikwambie mtu
 
Hisia kama hizi ndo badae huibua mambo ya ajabu yasiyo na faida kwako na kizazi chako..
Mpende mkeo kwa moyo wako wote aisee tamaa za macho zisikuzingue .. huyo ndo Mungu kakupa na kawapa watoto.. pia tulia mlee watoto
 
Nimeoa miaka nane iliyopita na nimepata watoto watatu. Ila sasa naona kama nilikosea kuchagua sababu huyu mke wangu tulianza mahusiano tukiwa shule tukaenda hadi Chuo kikuu pamoja.

Sasa naona wanawake wengine wazuri na wanaojipenda zaidi yake na nikiangalia yeye alivyo hajipodoi podoi yupo yupo tu na hana sexy body yaani havutii kabisa mpaka saa nyingine najisikia aibu.

Yaani nashindwa kujua nifanyeje kumwacha namwonea huruma sana.
Pole sana mkuu! hayo ni madhara ya wapenzi tangu utotoni. kiukweli watu wa age moja kuoana ni hasara sana. nduyo maana wajanja wanasubirigi.... 35 n above anatafuta chuna chake cha below 25... penzi hilo haliwezi chuja kwa sababu ulizozitoa hapa.

pole sana mkuu vumila na badili psycology yako utamuona poa tu.
 
Mkuu kakuzalia watoto watatu, ulidhani atabaki vilevile tu?
Nimeoa miaka nane iliyopita na nimepata watoto watatu. Ila sasa naona kama nilikosea kuchagua sababu huyu mke wangu tulianza mahusiano tukiwa shule tukaenda hadi Chuo kikuu pamoja.

Sasa naona wanawake wengine wazuri na wanaojipenda zaidi yake na nikiangalia yeye alivyo hajipodoi podoi yupo yupo tu na hana sexy body yaani havutii kabisa mpaka saa nyingine najisikia aibu.

Yaani nashindwa kujua nifanyeje kumwacha namwonea huruma sana.
 
Pole sana...

Ndani ya miaka nane unategemea abakie vile vile kama alivyokua na miaka 18...

Hata wewe utakua umebadilika humvutii tena, sema anakuvumilia tuu...

Cc: mahondaw
 
Nimeoa miaka nane iliyopita na nimepata watoto watatu. Ila sasa naona kama nilikosea kuchagua sababu huyu mke wangu tulianza mahusiano tukiwa shule tukaenda hadi Chuo kikuu pamoja.

Sasa naona wanawake wengine wazuri na wanaojipenda zaidi yake na nikiangalia yeye alivyo hajipodoi podoi yupo yupo tu na hana sexy body yaani havutii kabisa mpaka saa nyingine najisikia aibu.

Yaani nashindwa kujua nifanyeje kumwacha namwonea huruma sana.
Kutokujipodoa si ni wewe umwelekeze jamani!! mi nasemaga tuu baby mbona io suruali imepauka sana au namwambia tuu napenda uwe smart..nikimnunulia perfume mara mbili tatu atajiongeza..ata kama mchafu kuoga ukiwa nae we pends kuoga lazma nayeya atajiongeza ataoga tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom