Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

Watu huwa tunajisahaulisha sana kwenye mahusiano.

Kabla ya kuingia mambo huwa mpwitompwito, simu mara 37 kwa siku, sms 100, mwanamke atajipamba kila mara mnapokutana, perfume inavutia na vingine kadhaa

Baada ya kuolewa, na kujihakikishia hakuna competitors, The tend to change mpaka unajiuliza, ni huyu kweli?, unampgia romantic call yeye anaanza lalamika na kuleta mashtaka utadhani home hufiki,.,.,

Wanawake mlioolewa badilikeni, mambo mnayotuonyesha wakati wa uchumba embu endelezeni jamani
aiseee vipi wewe hali ikoje kwenye ndoa yako?
 
Kwanini nipe sababu ili uniponye na ujinga huo ulioniona nao
Si uoe kwa siri tu!! ukaone huko nje palivyo?? manake hujawahi onja nje! upigwe za uso mazima ndo utajua Dunia ilivo!! utarudi unatembelea ulimi!!! watakavyo kuchakaza huko nje!!! usimuache mkeo huyu ila toroka tumia akili ya kiume utoroke pasipo yeye kujua!!

pakikupendeza huko nje!! komaa!! ila kwanza ujikinge na malimbwata, usiweke pesa mbele nenda km kapuku tu mchunga ng'ombe wa bosi flani!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom